Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Wakfu na Mali ya Amana
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Afisa Miradi Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8652...Deadline: 2017-08-31 00:00:00
2. Nafasi za kazi Baraza la Mji
NAFASI ZA KAZI BARAZA LA MANISPAA MJINI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa ajili ya Baraza la Manispaa Mjini na Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini ‘B’ kama ifuatavyo:- BARAZA LA....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-18
Mahali pa kazi/tukio: Mjini Zanzibar Imetembelewa mara 10791...Deadline: 2017-08-25 00:00:00
3. Nafasi za kazi Wizara ya Afya
NAFASI ZA KAZI WIZARA YA AFYA Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Afya kama ifuatavyo:- 1.Afisa Afya Mazingira (Entomology) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya Kwanza....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-18
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 7794...Deadline: 2017-08-25 00:00:00
4. Nafasi za kazi Medical Stores Department (MSD)
Exciting Job Opportunities Medical Stores Department (MSD) is a semi-autonomous Department under the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, established by Act of Parliament No.13 of 1993 with an objective of developing and maintaining an efficient and cost....Chanzo: MSD
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-17
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 3270...Deadline: 2017-08-31 00:00:00
5. Nafasi za kazi Mzumbe University
The Mzumbe University invites applications from suitably qualified and competent Tanzanians to fill the following vacant posts: PLEASE DOWNLOAD PDF FILE FROM THE DOWNLOAD BUTTON TOP LEFT ....Chanzo: Mzumbe University
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-16
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 12539...Deadline: 2017-08-30 00:00:00
6. Nafasi za kazi Taasisi za Kiserikali
On behalf of The Local Government Training Institute (LGTI), Tanzania Forestry Research Institute (TAFORI), Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI), Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB), National Identification Authority (NIDA), President’s Office,....Chanzo: UTUMISHI
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-16
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5568...Deadline: 2017-08-30 00:00:00
7. Nafasi za kazi University of Dar es salaam (UDSM)
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant positions: ACADEMIC POSITIONS Positions COLLEGE OF AGRICULTURAL....Chanzo: UDSM
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-14
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 6755...Deadline: 2017-08-28 00:00:00
8. Majina ya walioitwa Usaili Wizara ya Fedha
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Fedha na Mipango Unguja kwenda kuangalia majina yao katika Wizara ya Fedha na Mipango kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 10 Agosti, 2017. Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao, usaili utafanyika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-10
Mahali pa kazi/tukio: IPA Tunguu Imetembelewa mara 11260...Deadline: 2017-08-12 00:00:00
9. Nafasi za kazi Zanzibar University (ZU)
VACANT POSTS AT ZANZIBAR UNIVERSITY Zanzibar University invites job applications for the posts of Senior Lecturers, Lecturers Assistant Lecturers and Tutorial Assistants as follows: Faculty of Law and Shariah: Three Holders of at least Master’s Degree in Law 2.....Chanzo: Zanzibar University
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-10
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11767...Deadline: 2017-09-18 00:00:00
10. Nafasi za kazi UDOM
....Chanzo: UDOM Web
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-09
Mahali pa kazi/tukio: Dodoma Imetembelewa mara 7377...Deadline: 2017-09-15 00:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-06-09 08:15:46Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
