Secretary ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIOfisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Wazanzibari wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nane (8) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.1.0 OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI ZANZIBAR....Chanzo: Utumishi SMZ
Tarehe ya kutolewa: 2022-10-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 33862...Deadline: 2022-10-31 15:30:002. Nafasi za Kazi Karume Institute of Technology KIST
TANGAZO LA KAZIUTANGULIZITaasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi mbili (02) za kazi kwa nafasi za Uongozi za Manaibu Wakuu wa Taasisi kama ifuatavyo;1.1 NAIBU MKUU WA TAASISI UTAWALA, MIPANGO NA FEDHA SIFA ZA MUOMBAJI1. Awe ni Mzanzibari mwenye kitambulisho cha....Chanzo: Utumishi SMZ
Tarehe ya kutolewa: 2022-10-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 24590...Deadline: 2022-10-21 15:30:003. Nafasi za Kazi Tasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar
TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO ZANZIBARTANGAZO LA NAFASI ZA KAZIBODI YA WAKURUGENZI YA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO ZANZIBAR KWA MUJIBU WA SHERIA INATANGAZA NAFASI ZA KAZI KATIKA OFISI ZAKE UNGUJA NA PEMBA KWA WATAFITI KATIKA KADA MBALIMBALI KAMA IFUATAVYO.1. AFISA UTAFITI KILIMO DARAJA LA II -....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2022-09-25
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 21761...Deadline: 2022-09-30 15:30:004. Nafasi za Kazi Kwa kada za Sheria Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi ya AFISA SHERIA DARAJA LA II na KARANI SHERIA DARAJA LA III kama ifuatavyo:- 1.AFISA SHERIA DARAJA LA II: Katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo :- 1.Ofisi ya Rais, Ikulu - Unguja “Nafisi 1” na Pemba....Chanzo: Utumishi SMZ
Tarehe ya kutolewa: 2022-09-21
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 25472...Deadline: 2022-09-28 15:30:005. Nafasi za Kazi Arusha International Conference Center
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef. No. JA. 9/259/01/A/142 15th August, 2022VACANCY ANNOUNCEMENTOn behalf of the Arusha International Conference Centre (AICC), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic and suitable....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2022-08-16
Mahali pa kazi/tukio: Arusha Imetembelewa mara 18358...Deadline: 2022-08-28 15:30:006. Nafasi ya kazi Bunge Tanzania
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAISSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMATANGAZO LA NAFASI ZA KAZIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Bunge la Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (1)....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2022-05-06
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 21334...Deadline: 2022-05-18 15:30:007. Nafasi ya kazi Bunge Tanzania
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAISSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMATANGAZO LA NAFASI ZA KAZIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Bunge la Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (1)....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2022-05-06
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 19985...Deadline: 2022-05-18 15:30:008. Nafasi za Kazi za Wasaidizi wa Sheria kwa Unguja na Pemba
TANGAZO LA NAFASI ZA WASAIDIZI WA SHERIA KWA UNGUJA NA PEMBAPosted: 2022-04-22 09:25:29Afisi ya Rais- Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora kupitia Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria kwa kushirikiana na Shirika la Legal Services Facility (LSF) chini ya program ya Kuimarisha Upatikanaji wa....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2022-04-22
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19178...Deadline: 2022-04-29 14:30:009. Nafasi za Kazi Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za taifa, MULUWASA na Kwengineko
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAISSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMARef.No.JA.9/259/01/3708 Septemba, 2021TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2021-09-15
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 18362...Deadline: 2021-09-21 15:30:0010. Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Pemba kama ifuatavyo:-1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” PembaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango au Uchumi kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2020-09-05
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 21098...Deadline: 2020-09-10 15:30:00