Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Pemba kama ifuatavyo:- 1. WALIMU WA SANAA NGAZI YA CHETI - Nafasi thamanini na saba (87) Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu mafunzo ya Ualimu wa Sanaa ngazi....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 6540...Deadline: 2017-11-24 00:00:00
2. Nafasi za Kazi wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara Biashara, Viwanda na Masoko - Pemba kama ifuatavyo:- 1. AFISA BIASHARA NA MASOKO MSAIDIZI - Nafasi mbili (2) Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Stashahada ya Usimamizi wa Biashara....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-19
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 8470...Deadline: 2017-11-24 00:00:00
3. Scholarships Pilot Training TCAA
TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY SPONSORSHIP FOR PILOT TRAINING ....Chanzo: TCAA web
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-15
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 6061...Deadline: 2017-12-08 00:00:00
4. Wito usaili Wizara ya kazi kwa Baraza la Vijana
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto kwa ajili ya Baraza la Vijana kufika katika Wizara ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, siku ya Jumamosi ya tarehe 04....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-11-01
Mahali pa kazi/tukio: Wizara ya Kazi Imetembelewa mara 6518...Deadline: 2017-11-04 00:00:00
5. Nafasi za kazi Wizara ya Fedha Muungano
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/62 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-28
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 4145...Deadline: 2017-11-11 00:00:00
6. Nafasi za Internship Taasisi za Serikali
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Prime Minister’s Office Labour, Youth, Employment and Persons with Disability PUBLIC NOTICE INVITATION FOR APPLICATIONS TO PARTICIPATE IN THE INTERNSHIP TRAINING PROGRAMME....Chanzo: Ofisi ya Waziri Mkuu
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-26
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 6964...Deadline: 2017-10-30 00:00:00
7. Nafasi za Kazi TPDC, DIT, NACTE na TPSC
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/58 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-26
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 10530...Deadline: 2017-11-08 00:00:00
8. Nafasi za kazi NIMR, COSTECH na TBS
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-14
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 4648...Deadline: 2017-10-27 00:00:00
9. Wito usaili Wizara ya Elimu
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi ya Muhandisi Ujenzi, Afisa Habari na Mawasiliano, Fundi Mchundo na Wahudumu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Unguja kufika katika usaili utakaofanyika siku ya Jumapili ya tarehe 15 Oktoba, 2017 saa 2:00....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-14
Mahali pa kazi/tukio: Kiembe Samaki A Imetembelewa mara 6132...Deadline: 2017-10-15 00:00:00
10. Nafasi za kazi Baraza la Vijana Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto kwa ajili ya Baraza la Vijana Zanzibar kama ifuatavyo:-1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 2” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-10-10
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8230...Deadline: 2017-10-13 00:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
