Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za kazi Masoko Kariakoo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/ J/46 25 Septemba 2017 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Masoko Kariakoo (KARIAKOO MARKETS CORPORATION)....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-25
Mahali pa kazi/tukio: Dar es salaam Imetembelewa mara 8095...Deadline: 2017-10-08 00:00:00
2. Nafasi za Kazi Mamlaka ya Mawasiliano TCRA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/39 20th September, 2017 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY (TCRA), President’s Office, Public Service Recruitment....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5030...Deadline: 2017-10-04 00:00:00
3. Nafasi za kazi TIC, GST, NHBRA, JKI na TCB
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/40 20th September, 2017 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Investment Centre (TIC), Benjamin Mkapa Hospital, Geological Survey of Tanzania (GST), National Housing and....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 4110...Deadline: 2017-10-04 00:00:00
4. Nafasi za Kazi Al Sumait University
ABDULRAHMAN AL-SUMAIT UNIVERSITY (SUMAIT University) ADVERTISEMENT FOR THE TOP UNIVERSITY LEADERSHIP VACANCIES (1) VC 1/SUMAIT 2017: Vice Chancellor (2) DVC 2/SUMAIT/2017: Deputy Vice Chancellor (Academic, Research and Consultancy) (3) DVC 3/SUMAIT/2017: Deputy Vice Chancellor (Administration....Chanzo: Alsumait University
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-15
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8288...Deadline: 2017-10-06 00:00:00
5. Nafasi za Kazi TIRDO
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/33 13th September, 2017 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Industrial Research and Development Organization (TIRDO), Secretary, President’s Office, Public Service....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-13
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5738...Deadline: 2017-09-26 00:00:00
6. Nafasi za kazi Shirika la Mizinga
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.EA.7/96/01/J/31 13 Septemba, 2017 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Mzinga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-13
Mahali pa kazi/tukio: Shirika la Mizinga Imetembelewa mara 16391...Deadline: 2017-09-26 00:00:00
7. Wito usaili (interview) pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia wale wote walioomba nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Wizara ya Afya, Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana na Wizara ya Fedha na Mipango kwa nafasi za Pemba wanatakiwa kufika kwenye....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-13
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 6737...Deadline: 2017-09-16 00:00:00
8. Nafasi 91 za kazi Taasisi za Serikali Muungano
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/30 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 6126...Deadline: 2017-09-25 00:00:00
9. Nafasi za kazi SUZA
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR JOB OPPORTUNITIES The State University of Zanzibar (SUZA) is the only Public University in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999 which was amended by Act No. 11 of 2009 and reamended by Act No. 7 of 2016. Since its inception in....Chanzo: SUZA
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-12
Mahali pa kazi/tukio: SUZA Imetembelewa mara 52508...Deadline: 2017-09-26 00:00:00
10. Usaili Wizara ya Afya Zanzibar
WITO KWA USAILI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Afya Unguja kufika katika usaili utakaofanyika Chuo cha Taifa SUZA – Tawi la Nkrumah Beit el Raas siku ya Jumatatu ya tarehe 11 Septemba, 2017 saa 2:00 za....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-09-08
Mahali pa kazi/tukio: Suza Beit el Raas Imetembelewa mara 7153...Deadline: 2017-09-11 00:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-06-09 08:15:46Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
