Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Shirika la Biashara la Taifa ZSTC
SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC) TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) lilianzishwa mwaka 1968 chini ya Sheria Na. 1 ya mwaka 1966 Sheria ya Mashirika ya Umma, kupitia tamko la Kisheria (Legal Notice) Na. 39 ya mwaka 1968. Shirika limepewa jukumu la kusimamia....Chanzo: ZSTC Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 29563...Deadline: 2018-04-09 15:30:00
2. Wito Usaili ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Raisi kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi. Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-07
Mahali pa kazi/tukio: IPA Tunguu Imetembelewa mara 5936...Deadline: 2018-03-11 08:00:00
3. Wito wa usaili ofisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Msajili wa Hakimiliki kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi. Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-07
Mahali pa kazi/tukio: Tunguu Imetembelewa mara 7726...Deadline: 2018-03-11 08:00:00
4. Nafasi za kazi Aga Khan Foundation
Position Title Project officer- Enterprise Development Food Value Chain Location Tanzania Agency Aga Khan Foundation Sector Social Development About the Agency The Aga Khan Foundation (AKF), alongside its....Chanzo: Aga Khan website
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-27
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 8757...Deadline: 2018-03-05 00:00:00
5. Nafasi ya Kazi Extractive Industries TAETI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/106 25thFebruary, 2018 VACANCIES ANNOUNCEMENT On the behalf of the Ministry of Minerals, President’s Office, Public Service recruitment Secretariat invite....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-25
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5818...Deadline: 2018-03-11 00:00:00
6. Nafasi za Kazi MUHAS, KCMC, TAFIRI, TAFORI, LGTI, NCT na GST
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-25
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 7546...Deadline: 2018-03-08 00:00:00
7. Nafasi za Kazi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kama ifuatavyo:- 1. Redio Operator Daraja la III “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Stashahada ya Habari na Mawasiliano....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12587...Deadline: 2018-02-26 00:00:00
8. Nafasi za Kazi Shelys Africa Vacancies
READ THE GUARDIAN 19 FEBRUARY FOR MORE INFORMATION....Chanzo: The Guardian 19/02/2018
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 10522...Deadline: 2018-02-28 00:00:00
9. Nafasi za Kazi Kamisheni ya Utalii Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Kamisheni ya Utalii Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Afisa Masoko na Utangazaji Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Masoko....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 13108...Deadline: 2018-02-26 00:00:00
10. Nafasi za Kazi Udereva Chuo kikuu Sokoine (SUA)
Applications are invited from suitably qualified Tanzanians to fill in the following vacant position at Sokoine University of Agriculture. POSITION: DRIVER III (1 POST) QUALIFICATIONS Possession of a Secondary School Education Certificate PLUS an Advanced....Chanzo: SUA website
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-20
Mahali pa kazi/tukio: SUA Imetembelewa mara 11690...Deadline: 2018-02-27 00:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
