Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Training opportunities Air traffic controllers TCAA
The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) was established to regulate the civil aviation industry to ensure effective implementation of Standards and Recommended Practices (SARPs) as provided in the Annexes to the Chicago Convention on the International Civil Aviation Organization (ICAO) and....Chanzo: TCAA web
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 12130...Deadline: 2018-03-25 16:00:002. Nafasi za Kazi Maktaba kuu Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Maktaba Kuu Pemba kama ifuatavyo:- 1. Mkutubi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada ya Ukutubi kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-12
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 8137...Deadline: 2018-03-14 15:30:003. Nafasi za Kazi ofisi ya Tume ya Kurekebisha sheria
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria kama ifuatavyo:- 1. Wanasheria Daraja la II “Nafasi 4” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Sheria kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12362...Deadline: 2018-03-14 15:30:004. Nafasi za Kazi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais – Pemba kama ifuatavyo:- 1. Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 1” - Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Sheria kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8967...Deadline: 2018-03-14 15:30:005. Nafasi za Masomo Zanzibar University
Ofisi ya mkuu wa taalum ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) Kilichoko Tunguu inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa muhula unaoanza Mwezi Mei na Septemba mwaka wa masomo wa 2018/2019 kama ifuatavyo: KOZI ZA CERTIFICATE: 1. CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION 2. CERTIFICATE IN....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-08
Mahali pa kazi/tukio: ZU Imetembelewa mara 13887...Deadline: 2018-03-30 16:00:006. Nafasi za Kazi Shirika la Biashara la Taifa ZSTC
SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC) TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) lilianzishwa mwaka 1968 chini ya Sheria Na. 1 ya mwaka 1966 Sheria ya Mashirika ya Umma, kupitia tamko la Kisheria (Legal Notice) Na. 39 ya mwaka 1968. Shirika limepewa jukumu la kusimamia....Chanzo: ZSTC Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 29425...Deadline: 2018-04-09 15:30:007. Wito Usaili ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Raisi kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi. Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-07
Mahali pa kazi/tukio: IPA Tunguu Imetembelewa mara 5871...Deadline: 2018-03-11 08:00:008. Wito wa usaili ofisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa Ofisi ya Msajili wa Hakimiliki kufika katika usaili siku ya Jumapili tarehe 11 Machi, 2017 katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Tunguu saa 2:00 asubuhi. Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukua vyeti vyao halisi vya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-03-07
Mahali pa kazi/tukio: Tunguu Imetembelewa mara 7666...Deadline: 2018-03-11 08:00:009. Nafasi za kazi Aga Khan Foundation
Position Title Project officer- Enterprise Development Food Value Chain Location Tanzania Agency Aga Khan Foundation Sector Social Development About the Agency The Aga Khan Foundation (AKF), alongside its....Chanzo: Aga Khan website
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-27
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 8607...Deadline: 2018-03-05 00:00:0010. Nafasi ya Kazi Extractive Industries TAETI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/106 25thFebruary, 2018 VACANCIES ANNOUNCEMENT On the behalf of the Ministry of Minerals, President’s Office, Public Service recruitment Secretariat invite....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-02-25
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 5768...Deadline: 2018-03-11 00:00:00