Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Zanzibar University
VACANT POSTS Zanzibar University invites job applications for the posts of Senior Lecturers, Lecturers and Assistant Lecturers for the Programme of Bachelor of Science in Nursing (Two Posts) Qualifications....Chanzo: ZU website
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-03
Mahali pa kazi/tukio: ZU Imetembelewa mara 20670...Deadline: 2018-07-30 15:30:00
2. Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 10397...Deadline: 2018-06-08 16:00:00
3. Nafasi za Kazi Za Ukutubi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi 41 za kazi ya Ukutubi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- NAM. IDARA IDADI YA NAFASI MAHALI 1 IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI 32 UNGUJA 2 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 5 UNGUJA 3 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 4....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-17
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17466...Deadline: 2018-05-23 15:30:00
4. Nafasi za Kazi Idara ya Serikali Mtandao Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Serikakali Mtandao kama ifuatavyo:- 1.BUSINESS ANALYST DARAJA LA II - Nafasi tatu (3) Unguja. Sifa za Muombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Computer Science,....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-15
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8494...Deadline: 2018-05-18 15:30:00
5. Nafasi za Kazi Wizara ya Fedha na Mipango Tanzania
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/126 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-15
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 9269...Deadline: 2018-05-28 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi na Veta
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-15
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 9508...Deadline: 2018-05-25 15:30:00
7. Nafasi za Kazi Arusha Urban Water Supply Authority
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WATER AND IRRIGATION ARUSHA URBAN WATER SUPPLY AND SANITATIONAUTHORITY EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-11
Mahali pa kazi/tukio: Arusha Imetembelewa mara 10332...Deadline: 2018-05-31 16:30:00
8. Nafasi za Kazi Afisi ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Afisi ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1.Afisa Uchunguzi Daraja la II “Nafasi 14 Unguja” Sifa za Muombaji: •Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12061...Deadline: 2018-05-15 15:30:00
9. Nafasi za Kazi Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1.Afisa Misitu Msaidizi Daraja la III “Nafasi 5” Unguja na “Nafasi 2” - Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-04
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19452...Deadline: 2018-05-10 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:- KAMISHENI YA KAZI: 1.Afisa Kazi Mikoa Daraja la II “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-04
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11414...Deadline: 2018-05-10 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
