Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za kazi MOI, VETA, KEC na Shirika la Mizinga
BOFYA HAPA KUPAKUA NAFASI ZA KAZI ZA MOI, VETA na KEC BOFYA HAPA KUPAKUA NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA MIZINGA ....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 14291...Deadline: 2018-07-13 16:00:00
2. Nafasi za Kazi SUMAIT University Zanzibar
ABDULRAHMAN AL SUMAIT UNIVERSITY – ZANZIBAR (SUMAIT UNIVERSITY) VACANT POSTS Abdulrahman Al Sumait University (SUMAIT University) invites applicants from suitably qualified Tanzanians to fill the vacant posts for Medical Doctor (one post) and Medical Laboratory Technician....Chanzo: Sumait University Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12354...Deadline: 2018-07-10 15:30:00
3. Nafasi za Kazi SUMAIT University
ABDULRAHMAN AL SUMAIT UNIVERSITY – ZANZIBAR (SUMAIT UNIVERSITY) VACANT POSTS Abdulrahman Al Sumait University (SUMAIT University) invites applicants from suitably qualified Tanzanians to fill the vacant posts for Medical Doctor (one post) and Medical Laboratory Technician....Chanzo: Sumait University Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 983...Deadline: 2018-07-10 15:30:00
4. Nafasi za Kazi Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Mtoni Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi za Wataalamu wa Afya na Walimu wa Sayansi kwa ajili ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Mtoni Zanzibar kama ifuatavyo:- 1. Daktari Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-30
Mahali pa kazi/tukio: Mtoni Zanzibar Imetembelewa mara 28541...Deadline: 2018-07-05 15:30:00
5. Nafasi za kazi ZSSF
Zanzibar Social Security Fund operates under the Zanzibar Security Fund Act No. 2 of 2005. Zanzibar Social Security Fund invites qualified Zanzibaris to fill 12 vacant posts as mentioned below; 1.1 ....Chanzo: Zanzibar24
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8309...Deadline: 2018-06-29 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. WALIMU WA SHAHADA YA KWANZA SANAA - Nafasi tatu (3) Unguja. Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16627...Deadline: 2018-07-03 15:30:00
7. Nafasi za Kazi FETA, TAFIRI, MNH, TDB, TAA, SIDO na STAMICO
BOFYA HAPA KUPAKUA TANGAZO HILI LA KAZI ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 19106...Deadline: 2018-08-02 15:30:00
8. Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Wauguzi Daraja la III “Nafasi 35” Unguja na “Nafasi 15” Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada katika fani ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-22
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18438...Deadline: 2018-06-28 15:30:00
9. Nafasi za kazi Shirika la Posta Tanzania
TANZANIA POSTS CORPORATION VACANCIES ANNOUNCEMENT....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 24408...Deadline: 2018-06-27 16:30:00
10. Nafasi za Kazi wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kwa ajili ya Ofisi ya Wakala wa Kusimamia Viwanda Vidogo Vidogo na vya Kati (SMIDA) kama ifuatavyo:- 1.Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: •Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16858...Deadline: 2018-06-26 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-12-11 01:18:27Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
