Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za kazi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:- 1. Afisa Usajili wa Wilaya Daraja la II “Nafasi 11” (Nafasi moja kwa kila Wilaya Unguja na Pemba) Sifa za Waombaji: • Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-10
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12146...Deadline: 2018-07-13 15:30:00
2. Nafasi za Kazi Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Unguja kama ifuatavyo:- 1. Afisa mipango Daraja la II “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-06
Mahali pa kazi/tukio: Unguja Imetembelewa mara 25105...Deadline: 2018-07-11 15:30:00
3. Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Unguja
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- KITUO CHA KULELEA WATOTO MAZIZINI 1. Wapishi Daraja la III “Nafasi 2” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-06
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17843...Deadline: 2018-07-11 15:30:00
4. Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)
BOFYA HAPA KUPAKUA FAILI LA NAFASI ZA KAZI ZA REA ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-05
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 12541...Deadline: 2018-07-18 16:00:00
5. Nafasi za kazi MOI, VETA, KEC na Shirika la Mizinga
BOFYA HAPA KUPAKUA NAFASI ZA KAZI ZA MOI, VETA na KEC BOFYA HAPA KUPAKUA NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA MIZINGA ....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 14009...Deadline: 2018-07-13 16:00:00
6. Nafasi za Kazi SUMAIT University Zanzibar
ABDULRAHMAN AL SUMAIT UNIVERSITY – ZANZIBAR (SUMAIT UNIVERSITY) VACANT POSTS Abdulrahman Al Sumait University (SUMAIT University) invites applicants from suitably qualified Tanzanians to fill the vacant posts for Medical Doctor (one post) and Medical Laboratory Technician....Chanzo: Sumait University Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12075...Deadline: 2018-07-10 15:30:00
7. Nafasi za Kazi SUMAIT University
ABDULRAHMAN AL SUMAIT UNIVERSITY – ZANZIBAR (SUMAIT UNIVERSITY) VACANT POSTS Abdulrahman Al Sumait University (SUMAIT University) invites applicants from suitably qualified Tanzanians to fill the vacant posts for Medical Doctor (one post) and Medical Laboratory Technician....Chanzo: Sumait University Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 862...Deadline: 2018-07-10 15:30:00
8. Nafasi za Kazi Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Mtoni Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi za Wataalamu wa Afya na Walimu wa Sayansi kwa ajili ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Mtoni Zanzibar kama ifuatavyo:- 1. Daktari Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-30
Mahali pa kazi/tukio: Mtoni Zanzibar Imetembelewa mara 27322...Deadline: 2018-07-05 15:30:00
9. Nafasi za kazi ZSSF
Zanzibar Social Security Fund operates under the Zanzibar Security Fund Act No. 2 of 2005. Zanzibar Social Security Fund invites qualified Zanzibaris to fill 12 vacant posts as mentioned below; 1.1 ....Chanzo: Zanzibar24
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8127...Deadline: 2018-06-29 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. WALIMU WA SHAHADA YA KWANZA SANAA - Nafasi tatu (3) Unguja. Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16276...Deadline: 2018-07-03 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-06-09 08:15:46Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
