Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi ya Kazi Administrative Officer Zanzibar University
Applications are invited from suitably qualified persons to fill the vacant post of Administrative Officer of Zanzibar University - Pemba campus. Qualifications: 1. An applicant must be a holder of a degree in Public....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-19
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 13178...Deadline: 2018-11-30 15:30:002. Nafasi za Kazi ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Wizara ya Kilimo
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Wizara ya Kilimo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 11 kama inavyooneshwa katika tangazo hili. DOWNLOAD PDF FILE YA TANGAZO HILI....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 18624...Deadline: 2018-11-30 16:40:003. Tangazo la Wito Kwa Walimu
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia walimu walofanya usaili tarehe 26 July, 2018 kufika katika ofisi ya Tume ya Utumishi siku ya Jumatatu ya tarehe 12 Novemba, 2018 saa 2:00 asubuhi Walimu wenyewe ni: SHAHADA YA KWANZA NO. JINA KAMILI 1 ABDALLA KHATIB ALI 2 ABDALLA SALIM ALI 3....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-09
Mahali pa kazi/tukio: Utumishi Zanzibar Imetembelewa mara 6707...Deadline: 2018-11-12 12:00:004. Nafasi za Kazi NECTA, TIA, ATC, LGTI na Nyenginezo
On behalf of Local Government Training Institute (LGTI), National Examinations Council of Tanzania (NECTA), Kilimanjaro Airports Development Company Limited (KADCO), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Arusha Technical College (ATC), Institute of Rural Development Planning (IRDP) ,Tanzania....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-09
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 19354...Deadline: 2018-11-23 16:30:005. Nafasi za Kazi Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Afisa Utumishi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 3” Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 25830...Deadline: 2018-11-14 03:30:006. Nafasi za Kazi Tanzania National Parks
TANZANIA NATIONAL PARKS VACANCIES ANNOUNCEMENT Tanzania National parks (TANAPA) is a Parastatal Organization whose mandate is to manage and regulate....Chanzo: Tanzania National Parks
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-07
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 6956...Deadline: 2018-11-26 00:00:007. Nafasi za Kazi Wizara ya Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji kama ifuatavyo:- IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI-UNGUJA 1.Afisa Utawala Daraja la II “Nafasi 1” Unguja Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-11-05
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 13726...Deadline: 2018-11-09 15:30:008. Nafasi za Kazi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kama ifuatavyo:- 1.Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Stashada katika fani ya Ukatibu Muhtasi kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-10-30
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16104...Deadline: 2018-11-05 15:30:009. Nafasi za Kazi Katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa Ba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa ajili ya Baraza la Mji Chake Chake Pemba kama ifuatavyo:- 1.Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-10-30
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 12191...Deadline: 2018-11-05 15:30:0010. Nafasi ya Kazi WWF Freshwater Program Officer
The programme Officer's major role is to provide support in designing, planning, implementing, monitoring & evaluation and reporting of the Freshwater Programme activities and growth. Major duties and responsibilities: Facilitate capacity building to the team and stakeholders....Chanzo: WWF website
Tarehe ya kutolewa: 2018-10-30
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 10011...Deadline: 2018-11-09 16:30:00