Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Ofisi ya Kamisheni ya Utumishi wa Umma
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Kamisheni ya Utumishi wa Umma kama ifuatavyo:-1. Afisa Rasilimali Watu Daraja la II “Nafasi 6” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Utawala wa Umma au Rasilimali Watu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9704...Deadline: 2019-07-19 15:30:002. Nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:-1. Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 10036...Deadline: 2019-07-19 15:30:003. Nafasi ya kazi Early Primary Classroom Teacher International School of Zanzibar
Early Primary Classroom Teacher Business / Employer nameInternational School of ZanzibarCompany Industry EducationJob Level Mid levelWork Type Full TimeMinimum Qualification BachelorYears of Experience 2....Chanzo: brightermonday
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19454...Deadline: 2019-08-05 15:30:004. Nafasi ya Kazi Secondary ICT Teacher and Consultant International School of Zanzibar
Secondary ICT Teacher and Consultant Job Level Mid levelWork Type Full TimeMinimum Qualification BachelorYears of Experience 2 years Description The International School of Zanzibar is seeking an ICT teacher for 11 to 14 years who can manage our ICT lab and....Chanzo: brightermonday
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 20440...Deadline: 2019-08-05 15:30:005. Nafasi ya kazi Vice Chancellor SUZA
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR VACANCY FOR THE POSITION OFTHE VICE CHANCELLOR The State University of Zanzibar (SUZA) is the only Public University in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999 which has been amended by Act No. 11 of 2009 and further....Chanzo: SUZA website
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11540...Deadline: 2019-07-17 15:30:006. Nafasi za Kazi Chuo cha Utawala wa Umma (IPA)
CHUO CHA UTAWALA WA UMMA ZANZIBAR KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI KAMA HIVI IFUATAVYO:-NAFASI YA KAZI1. Afisa Tehama “Nafasi Mbili (2)”Sifa za Muombaji.• Awe Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Kompyuta Science, Uhandisi wa Kompyuta, au Kompyuta Software kutoka katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-05
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 24221...Deadline: 2019-07-12 15:30:007. Nafasi za kazi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar kama ifuatavyo:-1. Wakili wa Serikali Daraja la II “Nafasi 8” SifazaWaombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza ya Sheria kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-28
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 30353...Deadline: 2019-07-05 15:30:008. Nafasi za kazi Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe kama ifuatavyo:-1. Afisa Miradi Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango au Mipango ya Maendeleo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-28
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 27206...Deadline: 2019-07-05 15:30:009. Nafasi za kazi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika kada mbali mbali kwa ajili ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:-1. HALMASHAURI YA WILAYA YA MICHEWENI – PEMBA:a) WALIMU WA SAYANSI KATIKA WILAYA YA MICHEWENI - PEMBA.Skuli ni:-....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-28
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 25379...Deadline: 2019-07-05 15:30:0010. Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto
TANGAZO LA NAFASI YA KAZITume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:-Afisa Ajira Habari Mawasiliano na Ushauri Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:Awe ni Mzanzibari.Awe amehitimu Shahada ya Kwanza....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-06-11
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16322...Deadline: 2019-06-14 15:30:00