Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Udereva
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/J/53 29 Julai, 2019 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-31
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 17337...Deadline: 2019-08-12 15:30:00
2. Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Unguja na Pemba (Zaidi ya 50)
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-1. Daktari wa Binaadamu Daraja la II “Nafasi 2” UngujaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Udaktari kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-26
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11446...Deadline: 2019-07-31 15:30:00
3. Nafasi za Kazi Wizara ya Fedha na Mipango
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Fedha na Mipango kama ifuatavyo:-1. Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 1” PembaSifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-25
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9281...Deadline: 2019-07-31 15:30:00
4. Nafasi za Kazi Afya TAMISEMI
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira mbadala chenye Kumb Na. FA 97/128/01/”A’’/31 cha tarehe 12 Julai 2019 kwa ajili ya kuajiri watumishi 550 wa kada mbalimbali za afya. Hivyo, Ofisi ya Rais,....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-24
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 17965...Deadline: 2019-08-05 15:30:00
5. Nafasi za Kazi TPA-PSPTB-KADCO-MNMA-
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J0/51 17th July, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-18
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 14067...Deadline: 2019-07-31 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto
Afisa Utumishi Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Utawala wa Umma au Rasilimali Watu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Jinsi ya Kuomba:• Barua za maombi ziandikwe kwa....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9602...Deadline: 2019-07-19 15:30:00
7. Nafasi za Kazi Ofisi ya Kamisheni ya Utumishi wa Umma
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Kamisheni ya Utumishi wa Umma kama ifuatavyo:-1. Afisa Rasilimali Watu Daraja la II “Nafasi 6” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Utawala wa Umma au Rasilimali Watu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9100...Deadline: 2019-07-19 15:30:00
8. Nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:-1. Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka katika Chuo....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-13
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9445...Deadline: 2019-07-19 15:30:00
9. Nafasi ya kazi Early Primary Classroom Teacher International School of Zanzibar
Early Primary Classroom Teacher Business / Employer nameInternational School of ZanzibarCompany Industry EducationJob Level Mid levelWork Type Full TimeMinimum Qualification BachelorYears of Experience 2....Chanzo: brightermonday
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18345...Deadline: 2019-08-05 15:30:00
10. Nafasi ya Kazi Secondary ICT Teacher and Consultant International School of Zanzibar
Secondary ICT Teacher and Consultant Job Level Mid levelWork Type Full TimeMinimum Qualification BachelorYears of Experience 2 years Description The International School of Zanzibar is seeking an ICT teacher for 11 to 14 years who can manage our ICT lab and....Chanzo: brightermonday
Tarehe ya kutolewa: 2019-07-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19062...Deadline: 2019-08-05 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-06-09 08:15:46Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
