Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Scholarships Islamic Development Bank for Undergraduate, Masters, Phd and IsDB VET
Islamic Development Bank Scholarship Programme for The Academic Year 2020-2021 Recognising the importance of qualified human resources for social advancement and sustainable development, the IsDB has been addressing human resources development in member countries alongside its development....Chanzo: ISDB Website
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-22
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8565...Deadline: 2020-02-28 15:30:00
2. Nafasi za Kazi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar ZAA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa sheria namba 8 ya mwaka 2011. Majukumu ya Mamlaka ya Viwanja Ndege yameelezwa kupitia kifungu nambari 5 (1) ambayo kwa jumla yamejielekeza katika kuviendesha, kuvisimamia, na....Chanzo: ZAA
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-22
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 42890...Deadline: 2019-12-27 15:30:00
3. Nafasi za kazi Wizara ya Katiba na Sheria
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Katiba na Sheria kama ifuatavyo:-IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI:1. Afisa Ghala Daraja la II “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Store” kutoka katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18950...Deadline: 2019-12-27 15:30:00
4. Nafasi za kazi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora kama ifuatavyo:-1. Afisa Maendeleo ya Sera Daraja la II “Nafasi 1”Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uchumi kutoka katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 24741...Deadline: 2019-12-27 15:30:00
5. Nafasi za Kazi Tanzania Government Flight Agency (TGFA)
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/134 11th December, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Government Flight Agency (TGFA), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-14
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 27366...Deadline: 2019-12-25 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Tanzania Institute of Accountancy (Rector)
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/135 12th December, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT Public Service Recruitment Secretariat on behalf of Tanzania Institute of Accountancy (TIA), invites qualified Tanzanians to fill 1 vacant posts....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-14
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 28663...Deadline: 2019-12-26 15:30:00
7. Nafasi za Kazi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ofisi ya Bar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa ajili ya Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba kama ifuatavyo:-1.Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 1” -PembaSifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-11
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 16351...Deadline: 2019-12-13 15:30:00
8. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba kama ifuatavyo:-1.Mtunza Ghala Daraja la III “Nafasi 1” -PembaSifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ununuzi na Ugavi kutoka katika....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-11
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 15457...Deadline: 2019-12-13 15:30:00
9. Nafasi za Kazi Carpenter na Assistant Medical Officer Mzumbe University
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/132 10th December, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Mzumbe University, President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, and....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-11
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 27411...Deadline: 2019-12-24 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Mzumbe University Academician
PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/132 10th December, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT The Vice Chancellor of Mzumbe University invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 2 vacant posts. 1.0 MZUMBE....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-12-11
Mahali pa kazi/tukio: Mzumbe Morogoro Imetembelewa mara 27491...Deadline: 2019-12-24 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-06-09 08:15:46Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
