Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Naafasi za kazi Kwa Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA MKUU WA MKOA WA KUSINI UNGUJAPosted: 2020-06-29 14:47:50Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja kama ifuatavyo:-1. Afisa Uhusiano Daraja la II “Nafasi 1” -Sifa za Waombaji:• Awe ni Mzanzibari.•....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2020-07-01
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 35956...Deadline: 2020-07-03 15:31:002. Nafasi za kazi ZSSF Zanzibar
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR Juni 22, 2020 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria Na. 2 ya mwaka 1998, sheria ambayo ilifanyiwa marekebisho na kupelekea kuanzishwa upya kwa Sheria Na.....Chanzo: zssf website
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 42848...Deadline: 2020-07-03 15:30:363. Nafasi za kazi ZECO Zanzibar
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linakaribisha maombi ya kujaza nafasi tupu katika kada mbali mbali kwa waombaji wenye sifa stahili kwa ajili ya ofisi yake ya Unguja na Tawi la Pemba. TAFADHALI BOFYA HAPA KUPAKUA PICHA KWA MAELEZO ZAIDI....Chanzo: Zanzibar Leo
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 60282...Deadline: 2020-06-26 15:30:194. Nafasi za Kazi Zanzibar State Trading Corporation (ZSTC)
SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA ZANZIBAR (ZSTC) TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) linatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo;- 1. Dereva Daraja la III: Nafasi 2 Unguja, 1 Pemba Sifa za muombaji ? Awe....Chanzo: ZSTC Web
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-24
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 38170...Deadline: 2020-06-29 15:30:005. Nafasi 95 za kazi VETA, LATRA, TASAC na NAOT
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/221 19th June, 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) and Tanzania Shipping Agencies Corporation....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-24
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 46542...Deadline: 2020-07-03 15:30:596. Nafasi za Kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Zanzibar
Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Zanzibar, imeanzishwa chini ya sheria Nam.10/2011 ikiwa na jukumu la kutoa huduma za kiuchunguzi na kudhibiti kemikali kwa kuweka usalama wa afya za binaadam na mazingira. Wakala wa Maabara ya Mkemia kwa uwezo uliyonayo chini ya kifungu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-22
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 51392...Deadline: 2020-06-30 15:30:007. Ongeza Spidi ya Computer na Ufanisi wake kwa SSD
Ongeza spidi ya computer na Ufanisi wake kwa kuweka disk ya SSD Kwanini kubadilisha hard disk yako kuwa SSD kutaifanya computer yako kua na speed mara 10 zaidi!! Hard disk ni kifaa kinachotumika kutunza taarifa (data) katika computer au wakati mwengine katika ‘External hard disk’. Kwa....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 26840...Deadline: 2021-12-31 11:14:008. Nafasi za Kazi SUZA
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA) JOB OPPORTUNITIES The State University of Zanzibar (SUZA) invites applications from qualified Zanzibaris to be considered to fill the following academic and administrative vacant posts: 1. ACADEMIC POSTS: (i) Tutorial Assistant....Chanzo: SUZA Website
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-11
Mahali pa kazi/tukio: Imetembelewa mara 33615...Deadline: 2020-06-19 15:30:009. Nafasi za Kazi Software Developer-Guidehouse
About Guidehouse Guidehouse is a leading global provider of consulting services to the public and commercial markets with broad capabilities in management, technology, and risk consulting. We help clients address their toughest challenges with a focus on markets and clients facing....Chanzo: Guidehouse Linkedln
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-03
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 13721...Deadline: 2020-06-03 23:59:0010. Nafasi za Kazi System Administrator SICPA
About SICPA SICPA is a leading global provider of secured authentication, identification and traceability solutions and services. Founded in 1927 and headquartered in Lausanne, the privately-owned Swiss company is a long-trusted advisor to governments, central banks, high-security printers,....Chanzo: SICPA linkedIn
Tarehe ya kutolewa: 2020-06-03
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 21374...Deadline: 2020-06-03 23:59:00