Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
Samahani! Hakukupatikana matangazo ya Nafasi za Kazi kwa sasa tafadhali endelea kututembelea kwa nafasi za kazi, Scholarships na bidhaa mbali mbali.Karibu tena!!
1. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi na Shirika la Mizinga
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Shirika la Mzinga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 23 kama zilivyoainishwa katika tangazo....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-01
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 21482...Deadline: 2018-08-13 15:30:002. Scholarship Opportunities for MSc in Oil and Gas Technology (UDSM)
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY DEPARTMENT OF MECHANICAL AND INDUSTRIAL ENGINEERING SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR MSc IN OIL AND GAS TECHNOLOGY 2018/19 ACADEMIC YEAR About NORAD EnPe funded UDSM OIL AND GAS TECHNOLOGY....Chanzo: UDSM Web
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-01
Mahali pa kazi/tukio: UDSM Imetembelewa mara 7375...Deadline: 2018-09-30 15:30:003. Nafasi za Masomo (Scholarships) SMZ
Tangazo la Nafasi za Masomo Kupitia Ufadhili Wa Benki Ya maendeleo ya kiislamu Bodi ya mikopo ya elimu ya juu zanzibar (bmejz) inatangaza nafasi za masomo ya shahada ya kwanza kupitia ufadhili wa serikali ya mapinduzi zanzibar kwa mwaka wa masomo 2018/19. Waombaji wa nafasi....Chanzo: MOEZ
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-30
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 10182...Deadline: 2018-08-17 15:30:004. Nafasi za Kazi Sokoine University of Agriculture (SUA)
The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) Invites suitable qualified Tanzanians to apply for positions of Tutorial Assistant, Assistant Librarian Trainee, Assistant Librarian, Assistant Lecturer, Librarian and Lecturer. Download the attachment (PDF) for the....Chanzo: SUA Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-30
Mahali pa kazi/tukio: Morogoro Imetembelewa mara 18475...Deadline: 2018-08-09 15:30:005. Nafasi za Kazi Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kama ifuatavyo:- 1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya katika fani ya Mipango au....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-25
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18281...Deadline: 2018-08-01 15:30:006. Nafasi za Kazi NBS, UCSAF, TAA, KCMC na FCC
Bofya hapo chini ili kupakua faili la pdf kwa ajili ya nafasi za kazi zilizotajwa Nafasi za Kazi Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Nafasi za Kazi UCSAF, TAA, KCMC na FCC ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 17902...Deadline: 2018-07-24 15:30:007. Nafasi za Masomo Ali Hassan Mwinyi Foundation Scholarships
BOFYA HAPA KUPAKUA FAILI LA NAFASI ZA MASOMO ALI HASSAN MWINYI FOUNDATION ....Chanzo: SCRIBD
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Sudan Imetembelewa mara 9219...Deadline: 2018-07-15 15:30:008. Study Engineering at Zanzibar University
Call for Application to Zanzibar University Engineering Programmes The Zanzibar University faculty of Engineering produce professionals who apply knowledge by thinking and doing, preparing them to become real engineers in a rapidly changing world technological spheres. Join us....Chanzo: ZU website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar University Imetembelewa mara 25471...Deadline: 2019-08-15 23:59:009. Nafasi za Kazi Shirika la Huduma za Maktaba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Shirika la Huduma za Maktaba kama ifuatavyo:- 1. Mkutubi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2” - Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Ukutubi’ kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17672...Deadline: 2018-07-17 15:31:0010. Nafasi za Kazi Internal Auditor na Librarian Zanzibar University
VACANT POSTS Applications are invited from suitably qualified persons to fill the vacant posts of Internal Auditor and Librarian at Zanzibar University, which is based in Tunguu. I. Internal Auditor ....Chanzo: ZU website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar University Imetembelewa mara 20637...Deadline: 2018-07-30 15:30:00Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote


Pakua app yetu kutoka Google play




















