Maelezo ya Bidhaa

  • Picha inafunguka
  • Picha inafunguka
  • Picha inafunguka

IMEMALIZA

Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa

Imetembelewa mara
1447

Bei

97,000 TZS

Maelezo kiufupi :

Maishaboratz  (0752962267) ?KUTOKANA NA UZOEFU MATIBABU YA TATIZO HILI(BAWASIRI) Familiar vizuri?????KAWAIDA YA KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma.Hali hii ufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japo kuwa dalili za awali usemekana....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam ilala boma

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex herbal clinic

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
Ramani za nyumba

Imeangaliwa

2024-04-16 03:00:18
TZS 230,000
No preview available
Ramani (plan) ya Nyumba vyumba 4

Imeangaliwa

2024-04-16 02:52:18
TZS 200,000
No preview available
Moya shoes

Imeangaliwa

2024-04-16 02:47:16
TZS Bei Maelewano
No preview available
Ramani na ujenzi wa nyumba

Imeangaliwa

2024-04-16 02:44:22
TZS 300,000
No preview available
Fundi jipsam (gypsum) ceiling

Imeangaliwa

2024-04-16 02:21:37
TZS Bei Maelewano
No preview available
Kiwanja

Imeangaliwa

2024-04-16 02:21:29
TZS 125,000,000
No preview available
Bati za rangi gauge 30

Imeangaliwa

2024-04-16 02:19:37
TZS 20,000

Maelezo Zaidi

Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa

Maishaboratz  (0752962267)

 

?KUTOKANA NA UZOEFU MATIBABU YA TATIZO HILI

(BAWASIRI)

 

Familiar vizuri????

?KAWAIDA YA KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma.

Hali hii ufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japo kuwa dalili za awali usemekana kufanana na ZA BAWASIRI.

Mfano. Miwasho, maumivu makali, Damu kutoka wakati mwengine, kuota kinyama n.k

 

 

______________________________

 

Lakini....!

 

?KAWAIDA YA BAWASIRI: Ni hali ya kudhoofika kwa kuta za mishipa ya Damu aina ya veins eneo la haja kubwa. Na hii uanza taratibu  na huwa inakuja na kuondoka kipindi fulani. Na hii inatoka hasa na mtindo wa kawaida wa mtu husika. Kama vichochezi vitapungua inapotea,

Vikiongezeka inarudi. Hii hali ikiendelea huweza kujenga usugu wa tatizo lenyewe. Na dalili zake pia  zinakaribiana mno na Tabia ya Kansa, kama vile miwasho, kuvimba kwa seli, Damu kutoka na maumivu wakati mwingine.

 

 

============================

 

?Mishipa ya damu inapo vimba aidha kwa ndani au kwa nje hukakamaa, na mwishoe ikipasuka inaleta madhara makubwa sana kwa mtu.

 

 

________________________________

 

?Kwahiyo basi: HATA MATIBABU YA TATIZO HILI.

Kiufahamu yanatakiwa mtu atibiwe kuanzia ndani kuelekea nje, hii ni kwasababu asilimia kubwa za bawasiri huanzia ndani kisha kuchomoza nje asa wakati wa kujisaidia haja kubwa kwa mtu.

 

 

________________________________

 

?Kama unasumbuka na hili tatizo kwa mda mrefu sana, tunaweza kukusaidia vema kabisa.

 

 

 

________________________________

 

?TUMA UJUMBE Whtspp au nenda pale juu ya profile ubofye link itakuleta kwa daktari moja kwa moja. Mkoa ulipo utahudumiwa bila wasiwasi.

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex herbal clinic

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English