Maelezo ya Bidhaa
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
*_BAWASIRI FLUID& BAWASIRI POWDER_*
(Tiba ya Bawasiri)
?Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
Dawa hizi:???
?? Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri.
??....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam
Jina la duka/Muuzaji:
pandex Herbal
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
DAWA ASILI KWA MATIBABU YA PINGILI ZA UTI WA MGONGO (DISC HERNIATION)
Imeangaliwa
2024-11-06 05:49:10Maelezo Zaidi
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE
*_BAWASIRI FLUID& BAWASIRI POWDER_* (Tiba ya Bawasiri) ?Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasir ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids). Dawa hizi:??? ?? Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri. ?? Hutibu miwasho itokanayo na bawasiri. ??Huondosha uvimbe/kinyama kitokanacho na bawasiri. ??Huondosha kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka yaani *Thrombosed Hemorrhoid* ?? Hulainisha choo Dawa hii inapatikana katika ujazo wa robo lita yaani mililita 100 (100mls) kwa dawa ya kupaka na pia dawa ya unga(BAWASIRI POWDER) kwaajili ya kunywa Ambayo ni doze kamili kwa bawasiri ya nje na bawasiri ya ndani. Ni dawa yakupakaa na ya kunywa ?Asilimia 90 (90%) ya wateja wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Dawa hii hutibu bawasiri ndani ya wiki moja na baadhi hutumia zaidi ya wiki moja kulingana na ukubwa wa tatizo NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji mdogo yaani *minor surgery* lakini bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena na inaweza kurejea kwa kasi zaidi na madhara zaidi kama ambavyo imeshuhudiliwa kwa wagonjwa wengi. Kwa mahitaji ya dawa wasiliana nami:??? wa.me/255717541527 *LIWAYA* Tiba Asili Tanzania *P A N D E X H E R B S* +255717541527 +255755162724 muhammadliwaya@gmail.com KARIBUNI SANA.
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako