Maelezo ya Bidhaa

Moya shoes

Imetembelewa mara
3456

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

Tai international company limited mwanakwere Zanzibar zssf chopping center room A 12Tumeingiza bidha nzuri za viatu moya shoes kutoka nchini Algeria zenye model nzuri za kituruki.Tumeingiza bidhaa hizo za kike na kiume ambazo Zina ubora uliokua mzuri Sana kwa mtumia na nivizuri zaidi kwa wale wenye....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Mwanakwere zssf Shopping center room A 12

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
Moya shoes

Imeangaliwa

2024-04-16 04:00:19
TZS Bei Maelewano
No preview available
Sport fishing boat

Imeangaliwa

2024-04-16 03:53:22
TZS 23,000,000
No preview available
Piki piki click na Avario motorcycles

Imeangaliwa

2024-04-16 03:53:22
TZS 4,500,000
No preview available
Saa Ya mkononi (Wrist watch)

Imeangaliwa

2024-04-16 03:52:03
TZS 25,000
No preview available
Viatu vya kike new fashion Clowsed

Imeangaliwa

2024-04-16 03:51:46
TZS 30,000
No preview available
Keki

Imeangaliwa

2024-04-16 03:50:58
TZS Bei Maelewano
No preview available
Ramani ya vyumba vinne design nzuri

Imeangaliwa

2024-04-16 03:50:09
TZS 220,000
No preview available
Vijora

Imeangaliwa

2024-04-16 03:49:21
TZS 9,000

Maelezo Zaidi

Moya shoes

Tai international company limited mwanakwere Zanzibar zssf chopping center room A 12

Tumeingiza bidha nzuri za viatu moya shoes kutoka nchini Algeria zenye model nzuri za kituruki.

Tumeingiza bidhaa hizo za kike na kiume ambazo Zina ubora uliokua mzuri Sana kwa mtumia na nivizuri zaidi kwa wale wenye matatizo ya miguu na mgongo . Akitumia kwa kipindi kidogo km alikua anansumbuliwa na miguu in shaa Allah ana asilimia kubwa Sana ya kuondoka maumivu au kupona moja kwa moja . 

 

Pia tunafanya delivery kwa wateja wetu na unaweza kulipia nusu nauli au usilipie moja kwamoja 

 

Pia Kuna punguzo kubwa labei kwa yule atakae chukua mzigo mwingi . 

 

Ndugu mfanya biashara wa viatu wahi Sana bidhaa ndio kwanza inaingia na bado haijasambazwa njoo ujinunulie ulipate kuuza 

 

Pia tunatoa bidha kwa Mali kauli baada ya kufika vigezo vilivyowekwa na company wahi Sasa ndugu bado hukachelewa.

 

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Tai international company limited mwanakwere Zanzibar zssf chopping center.

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English