Maelezo ya Bidhaa
Kiwanja Kinauzwa
Bei
50,000,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Kiwanja kikubwa kinauzwa kina eneo takriban uwanja a mpira wa kawaida...kiwanja kipo Mbuzini, kina miti kama minazi, mifenesi na michngwa...kiwanja kipo sehemu nzuri tu gari inafika mpaka lilipo eneo na huduma zoe zipo km umeme na maji..kw anaehitaji asisite kuwasiliana na me kupitia namba....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Mbuzini Unguja
Jina la duka/Muuzaji:
Mawadda
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Kiwanja Kinauzwa
Kiwanja kikubwa kinauzwa kina eneo takriban uwanja a mpira wa kawaida...kiwanja kipo Mbuzini, kina miti kama minazi, mifenesi na michngwa...kiwanja kipo sehemu nzuri tu gari inafika mpaka lilipo eneo na huduma zoe zipo km umeme na maji..kw anaehitaji asisite kuwasiliana na me kupitia namba 0717824828
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako