Maelezo ya Bidhaa
Ramani za nyumba
Bei
230,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Ramani ya vyumba vinne
Kimoja ni master Room kina choo na dressing room
Chapili ni self contained room
Viwili ni bed room
Ina sitting room kubwa
Dinning
kitchen na store..Public toilet yakutosha...INA ukubwa wa 13 metre kwa 15 metre......inaingiya katika kiwanja cha 20 metre kwa 20....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Tupo M/makumbi Chumbuni mbele ya lango LA kotex studii
Jina la duka/Muuzaji:
Light Tech Builder Design
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Ramani za nyumba
Ramani ya vyumba vinne Kimoja ni master Room kina choo na dressing room Chapili ni self contained room Viwili ni bed room Ina sitting room kubwa Dinning kitchen na store..Public toilet yakutosha...INA ukubwa wa 13 metre kwa 15 metre......inaingiya katika kiwanja cha 20 metre kwa 20 metre ...mteja unauhuru wa kusema piya
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako