Maelezo ya Bidhaa
Solar street lights for sale
Bei
Maelewano
Maelezo kiufupi :
Unaweza kutumia kwenye fensi nyumbani kwako, mtaani barabarani kwenye parking, kwenye yadi za magari, kwenye eneo la kiwanda na sehemu nyenginezo
Zina sensor ambazo huzifanya ziwake asilimia 30 kama hapana mtu karibu na kuwaka asilimia 100 endapo mtu atakuwepo karibu.
Weka oder yako uweze....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Zanzibar
Jina la duka/Muuzaji:
Zenjishoppazz
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
DAWA YA ASILI YA KUTIBU PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
Imeangaliwa
2024-09-08 05:19:33Madirisha na milango ya vioo, kitchen cabinets, na bathroom cabinets
Imeangaliwa
2024-09-08 05:14:05Maelezo Zaidi
Solar street lights for sale
Unaweza kutumia kwenye fensi nyumbani kwako, mtaani barabarani kwenye parking, kwenye yadi za magari, kwenye eneo la kiwanda na sehemu nyenginezo Zina sensor ambazo huzifanya ziwake asilimia 30 kama hapana mtu karibu na kuwaka asilimia 100 endapo mtu atakuwepo karibu. Weka oder yako uweze kupata taa hizi za kisasa.
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako