Maelezo ya Bidhaa
Scooter Spare Parts
Bei
500 TZS
Maelezo kiufupi :
Sasa unaweza kujipatia mahitaji yako ya bidhaa za vipuri vya Vespa LML NV, Star, Select ll, Piaggio PX, T5, Bajaj Chetak, Pikipiki bodaboda, Honda, Yamaha ,Oil za 4 Stroke 4T na 2 Stroke 2T vyote hivi kwa bei nafuu kabisa pia Vikiwa ni GENUINE!....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Mwanakwerekwe-Meli 4, Zanzibar
Jina la duka/Muuzaji:
Daud Scooter House
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Scooter Spare Parts
Sasa unaweza kujipatia mahitaji yako ya bidhaa za vipuri vya Vespa LML NV, Star, Select ll, Piaggio PX, T5, Bajaj Chetak, Pikipiki bodaboda, Honda, Yamaha ,Oil za 4 Stroke 4T na 2 Stroke 2T vyote hivi kwa bei nafuu kabisa pia Vikiwa ni GENUINE!
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako