Maelezo ya Bidhaa
TIBA SAHIHI YA BAWASIRI, SULUHISHO LA BAWASIRI, DAWA YA BAWASIRI, DAWA YA UHAKIKA YA BAWASIRI, DAWA
Bei
97 TZS
Maelezo kiufupi :
HEMORRHOIDS POWDER & HEMORRHOIDS FLUID NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI Ni doze ya week 1-3Dawa moja ya kunywa na moja ya kupaka ? Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam Tandika ![]()
Jina la duka/Muuzaji:
IZER HERBAL CLINIC
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
TIBA SAHIHI YA BAWASIRI, SULUHISHO LA BAWASIRI, DAWA YA BAWASIRI, DAWA YA UHAKIKA YA BAWASIRI, DAWA
Imeangaliwa
2026-01-12 16:21:49DAWA ASILI KWA MATIBABU YA PINGILI ZA UTI WA MGONGO (DISC HERNIATION)
Imeangaliwa
2026-01-12 16:12:59TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2026-01-12 16:11:28Maelezo Zaidi
TIBA SAHIHI YA BAWASIRI, SULUHISHO LA BAWASIRI, DAWA YA BAWASIRI, DAWA YA UHAKIKA YA BAWASIRI, DAWA
HEMORRHOIDS POWDER & HEMORRHOIDS FLUID
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
Ni doze ya week 1-3
Dawa moja ya kunywa na moja ya kupaka
? Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
*FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA KUTUMIA DAWA HII:??*
1.?? Hutibu maumivu makali yatokanayo na bawasiri.
2.??Huondosha miwasho yote inayotokana na bawasiri.
3.??Huondosha uvimbe/kinyama kitokanacho na bawasiri.
4.?? Hutibu kidonda na kutokwa na damu kutokana na bawasiri iliyopasuka na kuvilia damu *(Thrombosed Hemorrhoid)*
5.?? Huondosha Usaha uliotokana na seli kuoza kutokana na kuvilia kwa damu baada ya mishipa ya damu kupasuka.
6.??Inarekebisha mishipa ya damu iliyovimba na kupasuka
?Asilimia 98 (98%) ya wagonjwa wote waliotumia doze hii hawamalizi hata nusu doze tatizo huisha kabisa na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Dawa hii hutibu bawasiri ndani ya wiki moja na baadhi hutumia zaidi ya wiki moja kulingana na ukubwa wa tatizo
NB: Bawasiri ni katika magonjwa ambayo tiba yake husumbua sana hospital mpaka kupelekea watu kufanyiwa upasuaji mdogo yaani *minor surgery* lakini bawasiri haiishi kwa kufanyiwa upasuaji kwani huwa inarejea tena na inaweza kurejea kwa kasi zaidi na madhara zaidi kama ambavyo imeshuhudiliwa kwa wagonjwa wengi.
? WAHI KUFANYA MATIBABU YA BAWASIRI MAPEMA KABLA HAIJAKULETEA MADHARA MAKUBWA AMBAYO MATIBABU YAKE NI MAGUMU HATA KAMA UNA PESA NYINGI. MFANO WA MADHARA HAYO NI KANSA YA UTUMBO (Colorectal Cancer).
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako

Pakua app yetu kutoka Google play













