Maelezo ya Bidhaa
Plan ya nyumba gorofa moja (2 floor house plan)
Bei
420,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Ramani ya nyumba ya ghorofa moja vyumba vinne ina vitu vifuatavyo
Vyumba vinne vyote self contained
Jiko na store
Choo cha jumla
Ukumbi wa kupumzikia
Ukumbi wa kulilia
Vyumba vya juu vyote vina balcony
muezeko wa kisasa
Ukubwa wa mita 10 kwa 14
Marekebisho yanaweza....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
KIST
Jina la duka/Muuzaji:
Fahari Architects
Mawasiliano:
Maelezo Zaidi
Plan ya nyumba gorofa moja (2 floor house plan)
Ramani ya nyumba ya ghorofa moja vyumba vinne ina vitu vifuatavyo
- Vyumba vinne vyote self contained
- Jiko na store
- Choo cha jumla
- Ukumbi wa kupumzikia
- Ukumbi wa kulilia
- Vyumba vya juu vyote vina balcony
- muezeko wa kisasa
- Ukubwa wa mita 10 kwa 14
Marekebisho yanaweza kufanyika kulingana na mahitajio yako, unaweza pia kuweka order yako kwa kuwasiliana nasi
kupitia Whattsapp, SMS, au tupigie 0779133536
Mjulishe na mwenzako
Karibu sana Fahari Architects
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako