Dawa ya Tonsilis (Matonsisi)

General Description

Source: Thabit Sayd



Release date: 2019-11-28



Duty Station: Tanzania
31431 visits!... Deadline: 2026-11-28 23:29:00

*_DAWA YENYE MATOKEO YA HARAKA KATIKA KUTIBU TONSILS/MAFIDOFIDO_*

_____________________________
????????????????????????????????????????
____________________________

*_MAHITAJI_*

1.? Asali mbichi vijiko vikubwa 4-5
2.? Ndimu kubwa moja/limao.
3.? unga wa chumvi ya mawe robo kijiko kikubwa kimoja.
4.? Glass ya maji ya uvugu vugu.

*_MAELEKEZO_*
Changanya mchanganyiko huu vizuri kwa muda wa dakika 2 mpaka 3.

*_MATUMIZI_*
Kunywa mchanganyiko huu wenye uvuguvugu taratibu huku ukichelesha kuumeza unapofika kooni kisha unameza.

Kunywa glass moja asubuhi na moja jioni kwa muda wa siku mbili.

*_Uzindushi_*
Dawa hii ina matokeo ya haraka sana kiasi kwamba unaweza kupona maumivu siku moja au masaa machache tu lakini hakikisha unamaliza doze kama ilivyoelekezwa kwa ufanisi zaidi.?

Shukran

Contacts bofya kwenye namba kuwasiliana nazo 
+255764516995
+255656198441

thabitsayd@gmail.com



Share via Whatsapp

Promoted Ads

No preview available
Sport fishing boat
455

Visits

TZS 23,000,000
No preview available
Abaya baibui
1640

Visits

TZS 75,000
No preview available
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE
9159

Visits

Negotiation
No preview available
TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI
7550

Visits

Negotiation
No preview available
MADIRA YA MSOMALI
7959

Visits

TZS 20,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2023 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili