Tangazo la Kuitwa Kazini Ofisi Mbali Mbali za serekali

General Description

Source: ajira.go.tzRelease date: 2023-02-07Duty Station: TANZANIA
11789 visits!... Deadline: 2023-02-14 00:32:00

TANGAZO LA KUITWA KAZINI 

 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 12 – 28 Septemba, 25 Oktoba na 08 Novemba, 2022. kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana. 

 

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala yawazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta. 

 

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. 

 

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. 

 

NB: Waombaji wanaokwenda kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa.

 

KWA MAJINA NA MAELEZO ZAIDI BONYEZA HAPAShare via Whatsapp

Promoted Ads

No preview available
Sport fishing boat
420

Visits

TZS 23,000,000
No preview available
Abaya baibui
1618

Visits

TZS 75,000
No preview available
UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE
9086

Visits

Negotiation
No preview available
TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI
7453

Visits

Negotiation
No preview available
MADIRA YA MSOMALI
7861

Visits

TZS 20,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2023 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili