Scholarships Alexandria University Egypt

General Description

Source: Ministry of education Zanzibar



Release date: 2017-05-12



Duty Station: Egypt
8073 visits!... Deadline: 2017-05-31 00:00:00

MASTERS AND PhD SCHOLARSHIPS ALEXANDRIA UNIVERSITY EGYPT

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZILIZOTOLEWA NA CHUO CHA ALEXANDRIA - NCHI YA MISRI NGAZI YA SHAHADA YA PILI (MASTERS) NA YA TATU (PhD) KWA MWAKA 2017-18.

MUDA WA MASOMO

Waombaji wa Masters watasoma kwa miaka mitatu na wa PhD ni miaka mitano.

WATAKAOBAHATIKA KUPATA NAFASI;

Watasoma kwa kutumia lugha ya Kiarabu na English.

NJIA ZA KUFANYA MAOMBI;

Waombaji wote wanatakiwa kufanya maombi yao kupitia mtandao http://nbs.alexu.edu.eg 

Mwisho wa kutuma Maombi hayo si zaidi ya tarehe 31 Mei 2017



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1417

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1157

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1356

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1695

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1321

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1326

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
888

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili