NAFASI ZA KAZI WALIMU “GRADE A” SAYANSI (PHYSICS & MATH) DARAJA LA II - UNGUJA - 21 POST

General Description

Source: ZanAjira



Release date: 2023-01-04



Duty Station: Zanzibar
25093 visits!... Deadline: 2023-01-11 07:00:00

POSTMWALIMU “GRADE A” SAYANSI (PHYSICS & MATH) DARAJA LA II - UNGUJA - 21 POST
EMPLOYERWIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
APPLICATION TIMELINE:From: 04-01-2023 To: 11-01-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kufundisha wanafunzi (katika ngazi ya Cheti na Stashahada (Ordinary Diploma)).
  2. Kuandaa mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work).
  3. Kuandaa vitini vya kufundishia.
  4. Kutathmini maendeleo ya wanafunzi.
  5. Kuchukuwa mahudhurio ya wanafunzi na kutathmini maendeleo yao
  6. Kutunga na kusahihisha mitihani.
  7. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46
  2. Awe mwenye Shahada ya Kwanza ya Ualimu wa Sayansi katika katika masomo ya Physics na Mathematics kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapindizi ya Zanzibar.
REMUNERATIONZPSG-02

kwa maelezo zaidi kopi na paste link https://bit.ly/3jPDSeq



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1418

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1157

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1356

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1695

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1321

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1326

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
888

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili