NAFASI ZA KAZI MWALIMU “GRADE B” SAYANSI(DIPLOMA YA MSINGI) DARAJA LA III

General Description

Source: ZanAjira



Release date: 2023-01-04


Download


Duty Station: Zanzibar
22193 visits!... Deadline: 2023-01-11 04:50:00

POST: MWALIMU “GRADE B” SAYANSI (DIPLOMA YA MSINGI) DARAJA LA III - PEMBA - 108 POST

EMPLOYER: WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI

APPLICATION TIMELINE:From: 04-01-2023 To: 11-01-2023

 

DUTIES AND RESPONSIBILITIES: 

  1. Kufundisha Skuli za Msingi.
  2. Kutathmini maendeleo ya Wanafunzi.
  3. Kutoa taarifa za tathmini na matokeo mbali mbali kwa uongozi wa Skuli.
  4. Kujenga mashirikiano kati ya walimu, Wanafunzi na Wazazi au Walezi.
  5. Kuandaa na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya Wanafunzi.
  6. Kutoa ushauri nasaha kwa Wanafunzi, Wazazi na Walezi.
  7. Kutunga, kusimamia na kusahihisha mitihani Skuli katika ngazi anayofundisha.
  8. Kutathmini Mitaala ya masomo wanayofundisha.
  9. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usizidi miaka 46
  2. Awe na  Stashahada ya Ualimu wa Msingi ( Diploma in Primary Education) ya Sanaa, kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.

REMUNERATION: ZPSD-08

 

Kwa maelezo zaidi download PDF file au kopi na paste link https://bit.ly/3X9KGSk 



Download

Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1149

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
875

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
992

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1186

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
959

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
976

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
654

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili