Job Vacancies ...timiza ndoto zako!
Samahani! Hakukupatikana matangazo ya Job Vacancies kwa sasa tafadhali endelea kututembelea kwa nafasi za kazi, Scholarships na bidhaa mbali mbali.Karibu tena!!
1. Nafasi za kazi ZSSF
Zanzibar Social Security Fund operates under the Zanzibar Security Fund Act No. 2 of 2005. Zanzibar Social Security Fund invites qualified Zanzibaris to fill 12 vacant posts as mentioned below; 1.1 ....Chanzo: Zanzibar24
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 8962...Deadline: 2018-06-29 15:30:002. Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. WALIMU WA SHAHADA YA KWANZA SANAA - Nafasi tatu (3) Unguja. Sifa za Muombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17331...Deadline: 2018-07-03 15:30:003. Nafasi za Masomo Zanzibar University mwaka wa masomo 2018/2019
Ofisi ya Deputy Vice chancellor for Academic Affairs ya Zanzibar University inawatangazia umma nafasi za masomo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2018/2019 katika kozi mbali mbali zinazofundishwa chuoni hapo kama inavyoonekana katika kiambatanishi hapo chini.. ....Chanzo: Zanzibar University
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Imetembelewa mara 16527...Deadline: 2018-08-02 15:30:004. Nafasi za Kazi FETA, TAFIRI, MNH, TDB, TAA, SIDO na STAMICO
BOFYA HAPA KUPAKUA TANGAZO HILI LA KAZI ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 19931...Deadline: 2018-08-02 15:30:005. Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Wauguzi Daraja la III “Nafasi 35” Unguja na “Nafasi 15” Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada katika fani ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-22
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19232...Deadline: 2018-06-28 15:30:006. Nafasi za kazi Shirika la Posta Tanzania
TANZANIA POSTS CORPORATION VACANCIES ANNOUNCEMENT....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 25225...Deadline: 2018-06-27 16:30:007. Nafasi za Kazi wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kwa ajili ya Ofisi ya Wakala wa Kusimamia Viwanda Vidogo Vidogo na vya Kati (SMIDA) kama ifuatavyo:- 1.Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: •Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-19
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17514...Deadline: 2018-06-26 15:30:008. Nafasi za kazi IT Mzumbe University
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/139 ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-03
Mahali pa kazi/tukio: Mzumbe University Imetembelewa mara 8887...Deadline: 2018-06-13 16:30:009. Nafasi za Kazi Zanzibar University
VACANT POSTS Zanzibar University invites job applications for the posts of Senior Lecturers, Lecturers and Assistant Lecturers for the Programme of Bachelor of Science in Nursing (Two Posts) Qualifications....Chanzo: ZU website
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-03
Mahali pa kazi/tukio: ZU Imetembelewa mara 20889...Deadline: 2018-07-30 15:30:0010. Nafasi za Kazi Lab na Field attendants SUA
Applicants are invited from suitably qualified Tanzanians to fill the Vacant positions at SUA APOPO RODENT RESEARCH PROJECT POSITION: LABORATORY ATTENDANT I (SAMPLE COLLECTOR) (2 POSTS) - DAR ES SALAAM QUALIFICATIONS: Possession of Secondary....Chanzo: SUA website
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-03
Mahali pa kazi/tukio: Sokoine University Imetembelewa mara 12559...Deadline: 2018-06-14 16:00:00Job Vacancies
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote


Pakua app yetu kutoka Google play





















