Job Vacancies ...timiza ndoto zako!
Samahani! Hakukupatikana matangazo ya Job Vacancies kwa sasa tafadhali endelea kututembelea kwa nafasi za kazi, Scholarships na bidhaa mbali mbali.Karibu tena!!
1. Nafasi za kazi ya Ualimu Kaskazini A
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi ya Ualimu kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini ‘A’ kwa Skuli ya Msingi ya Banda Maji, Chutama, Chaani, Fukuchani, Gamba, Jongowe, Kibeni, Kibuyuni, Kidagoni, Kidoti, Kilimani, Kilindi, Kinyasini, Kivunge, Mfurumatonga, Mkokotoni, Mkwajuni,....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 20729...Deadline: 2019-04-12 15:30:00
2. Nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kama ifuatavyo:- 1. Mpishi Mkuu Daraja la II “Nafasi 1” Unguja Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Ukarimu na....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16834...Deadline: 2019-04-12 15:30:00
3. Nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale kama ifuatavyo:-IDARA YA HABARI MAELEZO - PEMBA1.Mwandishi wa Habari Daraja la II “Nafasi 2” PembaSifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-08
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17737...Deadline: 2019-04-12 15:30:00
4. Nafasi za Kazi UNICEF Zanzibar
Child Protection Specialist – United Nations Children’s Fund Job no: 521036 Position type: Fixed Term Appointment Location: Tanzania,Uni.Re Division/Equivalent: Nairobi Regn’l(ESARO) School/Unit: United Republic of....Chanzo: UN jobs
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-07
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 7580...Deadline: 2019-04-15 15:30:00
5. Nafasi za Kazi Tanzania Ports Authority (TPA)
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J0/21 6th April, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-07
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 19270...Deadline: 2019-04-19 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Tanzania Ports Authority
On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 12 vacant posts. 1.0 INTRODUCTION: Tanzania Ports Authority (TPA) was established under the Ports Act No. 17 of 2004. The Authority is vested....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-05
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 19207...Deadline: 2019-04-17 15:30:00
7. Scholarships Tenable at Korea Advanced Institute of Science and Technology (KAIST) 2019-2020
SCHOLARSHIP TENABLE AT KOREA ADVANCED INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KAIST) 2019-2020PrintCall for ApplicationThe General Public is hereby informed that, the Global IT Technology Program (ITTP) at KAIST, sponsored by Ministry of Science and ICT of Korea and The African Development Bank,....Chanzo: MOE
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-04
Mahali pa kazi/tukio: South Korea Imetembelewa mara 6239...Deadline: 2019-04-09 17:00:00
8. Nafasi za Kazi TANESCO
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL AND EXTERNAL ADVERTISEMENT Background – TANESCO http://www.tanesco.co.tz The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanian people. Next to its....Chanzo: TANESCO
Tarehe ya kutolewa: 2019-04-01
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 17357...Deadline: 2019-04-15 15:30:00
9. Nafasi za Kazi za Ualimu wa Sekondari Sayansi JKU
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi za Ualimu wa Sekondari kwa masomo ya Sayansi kwa ajili ya Skuli ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Mtoni Zanzibar kama ifuatavyo:-1.Mwalimu wa Chemistry/Biology Daraja la II “Nafasi 1 ” Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe na....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-03-29
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 14753...Deadline: 2019-04-05 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:-1.Afisa Vyama vya Ushirika Daraja la III “Nafasi 5” Sifa za Waombaji:•Awe ni Mzanzibari.•Awe amehitimu ya Shahada ya Kwanzakatika fani ya Biashara au....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-03-29
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 14942...Deadline: 2019-04-05 15:30:00
Job Vacancies
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
