Scholarships ...timiza ndoto zako!


1. MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI (INTERVIEW)

                                    MAJINA YA WALIOITWA KWENYE INTERVIEW Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana....

Chanzo:


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-19

Mahali pa kazi/tukio: ZANZIBARR
Imetembelewa mara 14352...Deadline: 2017-07-22 00:00:00
Share via Whatsapp

2. Nafasi za kazi (74) Zanzibar Aviation Authority (ZAA)

Mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar, ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya sheria namba8 ya mwaka 2011. Mamlaka ya viwanja vya ndege inatangaza nafasi za kazi 74 katika maeneo yaliyoainishwa katika nafasi na meneo yaliyoainishwa katika tangazo kama vile Civil, Electrical and Mechanical....

Chanzo: Zanzibar24


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-18

Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara 19241...Deadline: 2017-08-08 00:00:00
Share via Whatsapp

3. Nafasi za masomo (SMZ Scholarships) Bodi ya Mikopo Zanzibar

Nafasi za masomo (Scholarships) za Bodi ya mikopo Zanzibar Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi kumi za ufadhili wa masomo kwa njia ya scholarship zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa vijana waliofaulu vizuri zaidi mitihani yao ya kidato cha sita kwa mwaka 2017....

Chanzo: ZHELB


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-17

Mahali pa kazi/tukio: Tanzania
Imetembelewa mara 8739...Deadline: 2017-08-15 00:00:00
Share via Whatsapp

4. Nafasi za masomo (Scholarships) Utabibu Mifugo China

Nafasi za masomo china Veterinary Medicine Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi za masomo ya shahada ya kwanza ya Tiba ya Mifugo (Bachelor of Veterinary Medicine) katika Chuo Kikuu cha Yichun kilichopo katika jimbo la Jiangxi nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18. Masomo....

Chanzo: ZHELB


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-17

Mahali pa kazi/tukio: CHina
Imetembelewa mara 8535...Deadline: 2017-08-15 00:00:00
Share via Whatsapp

5. Nafasi za Masomo Islamic Development Bank (IDB)

NAFASI ZA MASOMO ISLAMIC DEVELOPMENT BANK Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya shahada ya kwanza zinazotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kiislamu (IDB) kwa mwaka wa masomo 2017/18. Fani zinazotolewa ni: 1. Udaktari wa binadamu (Doctor of medicine) 2.....

Chanzo: Ministry of education Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-17

Mahali pa kazi/tukio:
Imetembelewa mara 6711...Deadline: 2017-08-04 00:00:00
Share via Whatsapp

6. MATOKEO NECTA FORM SIX 2017 (ACSEE RESULTS 2017)

PLEASE CLICK HERE TO SEE ACSEE RESULTS 2017....

Chanzo: NECTA


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-15

Mahali pa kazi/tukio: NECTA
Imetembelewa mara 20468...Deadline: 2017-12-31 00:00:00
Share via Whatsapp

7. NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kama ifuatavyo:-  1. Afisa Mipango Miji Daraja la II “Nafasi 3”  Sifa za Waombaji:  • Awe ni Mzanzibari.  • Awe....

Chanzo: Utumishi Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-14

Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara 11546...Deadline: 2017-07-21 00:00:00
Share via Whatsapp

8. NAFASI ZA KAZI CENTER OF FOREIGN RELATIONS TANZANIA

NAFASI ZA KAZI CENTER OF FOREIGN RELATIONS TANZANIA On behalf of the Center for Foreign Relations Tanzania, President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat (PO-PSRS) invites qualified Tanzanians to fill one (1) vacant post mentioned belowPLEASE CLICK HERE TO DOWNLOAD PDF FILE FOR....

Chanzo: UTUMISHI


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-13

Mahali pa kazi/tukio: Tanzania
Imetembelewa mara 4935...Deadline: 2017-07-26 00:00:00
Share via Whatsapp

9. NAFASI ZA KAZI WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Ukama ifuatavyo:- 1. Afisa Utumishi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: Awe ni Mzanzibari. Awe....

Chanzo: UTUMISHI ZANZIBAR


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-12

Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara 15395...Deadline: 2017-07-17 00:00:00
Share via Whatsapp

10. NAFASI ZA KAZI OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

NAFASI ZA KAZI OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kama ifuatavyo:- 1. CHEMISTRY Daraja la II “Nafasi 7” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya....

Chanzo: Utumishi Zanzibar


Tarehe ya kutolewa: 2017-07-12

Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara 8556...Deadline: 2017-07-17 00:00:00
Share via Whatsapp

Scholarships

  • Undergraduate Scholarships
  • PhD Scholarships
  • Islamic university of Madina
  • Zilizofanyiwa promo

    No preview available
    Pili pili ramuju ladha ya kipekee kwa apettite

    Imeangaliwa

    2026-03-23 10:05:54
    TZS 2,000
    No preview available
    Highheels

    Imeangaliwa

    2026-03-21 09:47:59
    TZS 25,000
    No preview available
    vyetezo vya umeme

    Imeangaliwa

    2026-03-21 01:57:49
    TZS 10,000
    No preview available
    saa za kike

    Imeangaliwa

    2026-03-23 21:43:46
    TZS 15,000
    No preview available
    Dishdash

    Imeangaliwa

    2026-03-21 12:48:05
    TZS 20,000
    No preview available
    Night dress

    Imeangaliwa

    2026-03-24 05:55:06
    TZS 8,000
    No preview available
    cheni ndefu

    Imeangaliwa

    2026-03-24 15:49:09
    TZS 16,000
    No preview available
    maua

    Imeangaliwa

    2026-03-22 09:06:40
    TZS 7,000

    Zilizotembelewa sana

    No preview available
    Ramani (plan) ya Nyumba vyumba 4
    Matembezi
    182476
    TZS 200,000
    No preview available
    Ramani ya nyumba vyumba vinne simple
    Matembezi
    179028
    TZS 180,000
    No preview available
    Madirisha na milango ya Welding
    Matembezi
    125252
    TZS Bei Maelewano
    No preview available
    Bati za rangi gauge 30
    Matembezi
    111895
    TZS 20,000
    No preview available
    Tv flat screen inch 32
    Matembezi
    103035
    TZS 380,000
    No preview available
    Ramani ya nyumba vyumba vitano
    Matembezi
    86712
    TZS 230,000
    No preview available
    Milango ya vioo, madirisha na makabati
    Matembezi
    83254
    TZS Bei Maelewano
    Tangaza bidhaa

    © 2026 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili