Nafasi za Kazi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheri

Maelezo

Chanzo: Utumishi ZanzibarTarehe Iliyotolewa: 2019-03-29Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 2574 ... Deadline: 2019-03-05 15:30:00

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Ofisi ya Tume ya Kurekebisha Sheria kama ifuatavyo:-


OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA:

1.Dereva Daraja la III “Nafasi 3” 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


OFISI YA AFISA MDHAMINI OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA - PEMBA:

1.Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 1” 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu ya Stashahada katika fani ya Ukatibu Muhtasi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya ZanzibarTUME YA KUREKEBISHA SHERIA:

1.Mhudumu Daraja la III “Nafasi 1 

Sifa za Waombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Elimu ya Sekondari 


Jinsi ya Kuomba:
•Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-


KATIBU, 
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

•Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.


Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo 
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
g) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 05 Aprili, 2019 wakati wa saa za kazi.

•Tangazo hili pia linapatikana katika Tovuti www.utumishismz.go.tzShare via Whatsapp
Advertise with us

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English