Nafasi za Kazi Afisa Msaidizi GIS Daraja la Pili

Maelezo

Chanzo: Zan Ajira PortalTarehe Iliyotolewa: 2023-07-04Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 16051 ... Deadline: 2023-07-14 15:30:00

POSTAFISA MSAIDIZI GIS DARAJA LA III - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO
APPLICATION TIMELINE:From: 28-06-2023 To: 14-07-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kukusanya na kuchakata taarifa za maeneo (spatial data) zinazohusu tafiti zinazofanyika katika taasisi
  2. Kutoa na kutafsiri matokeo ya taarifa za maeneo (spatial information) zinazohusu tafiti zinazofanyika katika taasisi
  3. Kusimamia na kutunza taarifa za maeneo (spatial data) na Kanzidata (Geodatabase) ya taasisi
  4. Kuishauri Taasisi juu ya tafiti zinazohusiana na taarifa za maeneo ya Misitu.
  5. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
  2. Awe amehitimu Stashahada ya Geoinformatics kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATIONZPSE - 10Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English