Mambo Ambayo Yanaweza Kukupotezea Muda ikiwa utayafanya.
Maelezo
Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe Iliyotolewa: 2023-05-25
Mambo Ambayo Yanaweza Kukupotezea Muda ikiwa utayafanya.
- Kujaribu kumfurahisha kila mtu.
- Kufikiri kupita kiasi
- Kurudia kufanya makosa yale yale.
Jambo ambalo linawapotezea muda watu wengi ni kujaribu kutaka kumfurahisha kila mtu (kitu ambacho hakiwezekani), pasi na kujali muda na kipaumbele ulichokipanga kukifanya katika muda husika. Kwa mfano ili kuweza kufanikiwa unatakiwa ujifunze
• kusema hapana katika baadhi ya mambo
• Tanguliza mahitaji yako mwenyewe yale ambayo tayari umeshayapanga
•Tafuta mahusiano kwa kusaidiana na kushauriana na wengine
Kufikiri kupita kiasi ni jambo lililowasababishia watu wengi matatizo kama vile stress na kuwapotezea watu muda. Ili kuweza kulishinda jambo la kufikiri kupita kiasi fanya mambo yafuatayo
• Andika mawazo yako
• Fanya mazoezi mara kwa mara.
•Tumia maongezi mazuri ya kibinafsi baina yako na wengine
Unapojaribu kufanya makosa yale kwa yale ni katika jambo linaloweza kukurejesha nyumba kimaendeo. Hivyo ili kuondokana na tatizo hilo fanya mambo yafuatayo
• Jipange upya ili kuepuka makosa yale yale
• Tafuta maoni kutoka kwa watu tofauti ili uweze kuyaepuka kurejea tena
• Tafakari juu ya kosa ulilolifanya nyumba ili usilirejee tena.

Zinazofanana
- Kiwanja Kinauzwa Bei Nzuri Tu
- Matoke ya Form Six 2023-ACSEE form six results 2023
- Kazi 4 zinazolipa mishahara mikubwa
- Ajali ya MV Spice Islander
- Ifahamu Museum for the Future Dubai
- Njia tano za kuomba nyongeza ya mshahara
- Matokeo ya Kidato cha Nne (Form Four) 2022/2023
- Matekeo ya Mitahani ya Taifa
- The Motivation Myth
- TABIA 12 ZA MATAJIRI/MAMILIONEA
- General studies Notes
- Mambo saba ya kujifunza katika kitabu cha The Richest Man in the Babylon
- History Notes Form Two
- History Form One Notes
- NINI TUNAJIFUNZA KUPITIA KIPEPEO
- Ni yapi malengo yako kwa mwaka 2023
- Fumba Town
- FUMBA TOWN ZANZIBAR
- KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA
- MAMBO SABA WANAYOYAFANYA MASKINI, AMBAYO MATAJIRI HAWAYAFANYI
- NAMNA NZURI YA KUWEZA KUHIFADHI PESA
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
