Nafasi ya Kazi System Developer (Lead Developer)

Maelezo

Chanzo: ZanAjiraTarehe Iliyotolewa: 2023-01-31Kituo cha Kazi/Tukio: TANZANIA
Imetembelewa mara! 15459 ... Deadline: 2023-02-16 00:53:00

POSTSYSTEM DEVELOPER (LEAD DEVELOPER) DARAJA LA II - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA AFYA
APPLICATION TIMELINE:From: 28-01-2023 To: 16-02-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kuainisha progrmu ngumu na nyepesi za kompyuta.
  2. Kutengeneza ‘Data Base’.
  3. Kutayarisha uendeshaji wa ‘User Manual’.
  4. Kutoa ushauri juu mifumo bora ya kompyuta.
  5. Kuandaa ‘Monitoring Operating Systems’ kwa ajili ya ‘Software’ za Mawasiliano.
  6. Kufanya udhibiti wa matumizi ya programu za kompyuta.
  7. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  8. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiopungua miaka arobaini na sita.
  2. Mwenye Shahada ya Kwanza au sifa inayolingana nayo ya Sayansi ya Kompyuta kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONZPSG - 08

KWA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUOMBA GUSA HAPAShare via Whatsapp
Advertise with us

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English