Tangazo la Nafasi ya Kazi Wizara ya Afya Zanzibar

Maelezo

Chanzo: ZanAjiraTarehe Iliyotolewa: 2023-01-28Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 15335 ... Deadline: 2023-02-16 23:43:00

POST: DAKTARI WA BINAADAM DARAJA LA II - 33 POST

 

EMPLOYER: WIZARA YA AFYA

 

APPLICATION TIMELINE: From: 28-01-2023 To: 16-02-2023

 

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  1. Kufanya shughuli zote za utibabu, huduma za upasuaji wa dharura na upasuaji wa kawaida.
  2. Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.
  3. Kuchunguza, kufatilia na kuzuia miripuko ya   magonjwa mbali mbali.
  4. Kupanga na Kufanya tathmini ya huduma za afya.
  5. Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
  6. Kutoa huduma za “Outreach Programme”.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

  • Awe mwenye Shahada ya kwanza katika fani ya Tiba ya Binaadamu (Medical Doctor) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  •  Awe amemaliza mafunzo ya vitendo (Internship) kwa muda wa mwaka mmoja katika hospitali zilizoteuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
  •  Awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari Zanzibar.

REMUNERATION: ZPSJ-09

 

 Share via Whatsapp
Advertise with us

©2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English