NINI TUNAJIFUNZA KUPITIA KIPEPEO

Maelezo

Chanzo: ZenjishoppazzTarehe Iliyotolewa: 2023-01-11Kituo cha Kazi/Tukio: TANZANIA
Imetembelewa mara! 17637 ... Deadline: 2024-06-11 03:05:00

NINI TUNAJIFUNZA KUPITIA KWA KIPEPEO?

 

Ikiwa utamia muda wako kwa ajili ya kutafuta na kufukuzia vipepeo, na vipepeo nao huzidi kukimbia. Kitu cha muhimu ni kutumia muda kutengeneza bustani nzuri yenye kuvutia na baadae vipepeo watakuja wenyewe pasi na kutumia nguvu yoyote ile. 

 

Kipi tunachojifunza hapa? Kinachotufunza ni kwamba mtu asiote ndoto ya mafanikio bali afanye kazi kwa bidi kwa ajili ya kupata mafanikio.Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English