Nafasi za Kazi Afisa Tehama Wizara ya Maji Nishati na Madini Pemba

Maelezo

Chanzo: Zan Ajira PortalTarehe Iliyotolewa: 2023-01-11Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 28713 ... Deadline: 2023-01-26 15:30:00

POSTAFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA III - PEMBA - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA MAJI NISHATI NA MADINI
APPLICATION TIMELINE:From: 11-01-2023 To: 26-01-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
 1. Kusaidia kuweka kumbukumbu na taratibu za Kiteknolojia ya kisasa na mbinu za kufanyia kazi,
 2. Kusaidia kufanya majaribio ya sehemu timilifu za program za Kompyuta (Perform Unit Systems (Module Testing),
 3. Kusaidia kufanya majaribio ya mifumo ya Tehama (Perform Esting of System Configurations),
 4. Kusaidia kufanya majiribio ya program za Kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji (Conducting User Acceptance Test),
 5. Kushiriki katika kutunza miundo mbinu iliyowekwa ndani ya Taasisi pamoja na vifaa vyote vya Tehama.
 6. Kuhakikisha kuwa vifaa vyote vya Tehama vinafanya kazi vizuri.
 7. Kuhakisha kuwa vifaa vyote vya Tehama vipo katika hali iliyosalama pamoja kutunza taarifa zote za Taasisi.
 8. Kushiriki katika kuweka mfumo wa akiba wa umeme ili kuhakikisha usalama wa Vifaa vya Tehama ndani ya Taasisi.
 9. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka na kuziwasilisha kunakohusika.
 10. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
   
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
 1. Awe Mzanzibari mwenye umri usiopungua umri wa miaka arobaini na sita (46).
 2. Awe Stashahada ya ICT au Computer Engineer kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali.
REMUNERATIONZPSD-09

 

Click here to ApplyShare via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English