Nafasi za kazi SMIDA
Maelezo
WAKALA WA MAENDELEO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO, VIDOGO NA VYA KATI (SMIDA)
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Wakala wa Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo, Vidogo na vya Kati (SMIDA) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria No.2 ya mwaka 2018.
Kwa mujibu wa sheria ya hiyo, Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala ina mamlaka ya kuajiri wafanyakazi wa Wakala kwa mujibu wa kifungu Namba 5(g) cha Sheria ya Wakala Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo, Vidogo na vya Kati.
Hivyo, Wakala wa Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo, Vidogo na vya Kati (SMIDA) inakaribisha maombi ya kujaza nafasi tupu katika Kada mbali mbali kwa waombaji wenye sifa stahili katika Ofisi yake iliyopo Maruhubi Unguja na Pujini Chake Chake Pemba.
Nafasi zenyewe ni kama zifuatazo;
UNGUJA
1. MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (ZPSG-08) nafasi moja
Sifa za muombaji
? Awe ni Mzanzibari.
? Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Mitambo (Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering) au Mitambo na Elektroniki (Bachelor of Egineering in Mechatronic Engineering) au fani nyingine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Zinazofanana
- Nafasi ya Kazi Programme Associate
- Tangazo la Nafasi ya Kazi Consultant to develop Drowning Prevention National Plan in Zanzibar-(23051
- Nafasi ya Kazi Protection Associate
- Nafasi ya Kazi IT Officer - Tanzania
- Nafasi ya Kazi Umoja wa Mataifa
- Nafasi ya Kazi Monitoring and Evaluation Manager
- Nafasi ya Kazi Senior Human Resources Officer
- Nafasi ya Kazi NATIONAL EPIDEMIOLOGIST
- Nafasi ya Kazi National Consultant: Review and document the integration of the micronutrient survey
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Bidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
