KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA
Maelezo
Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe Iliyotolewa: 2022-12-18
KARIBU USAFIRI NASI KWA SAFARI YA HIJA
Je unataka kwenda hija au una mtu ambae anataka kwenda hija?
Karibu katika taasisi yako pendwa ya ALMUMTAAZ HAJJ GROUP ni taasisi zowefu kwa masuala ya usafirishaji wa mahujaji nchini Tanzania yaani bara na visiwani.
Pia kampuni yetu inatowa ofa kwa kila mtu mmoja atakae leta Hujaji tutampatia dola 50, watu 10 dola 600 na watu 15 ofa ya safari ya Hija.
Karibu uungane nasi kwa safari nzuri za Hija na Umra, kwani hudama zetu ni nzuri, murua na nafuu.
Unaweza kuwasiliana nasi popote pale Tanzania na tukaweza kukuhudumia kwa wepesi na haraka inshaa Allah
Zinazofanana
- Ifahamu Museum for the Future Dubai
- Ajali ya MV Spice Islander
- Matokeo ya Kidato cha Nne (Form Four) 2022/2023
- The Motivation Myth
- TABIA 12 ZA MATAJIRI/MAMILIONEA
- Mambo saba ya kujifunza katika kitabu cha The Richest Man in the Babylon
- History Form One Notes
- Ni yapi malengo yako kwa mwaka 2023
- MAMBO SABA WANAYOYAFANYA MASKINI, AMBAYO MATAJIRI HAWAYAFANYI
- NAMNA NZURI YA KUWEZA KUHIFADHI PESA