Nafasi ya kazi Bunge Tanzania

Maelezo

Chanzo: Utumishi TanzaniaTarehe Iliyotolewa: 2022-05-06


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 19561 ... Deadline: 2022-05-18 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

page1image2449347440

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Bunge la Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (1) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

1.0 MWAJIRI: BUNGE LA TANZANIA
1.0.1 MWANDISHI WA TAARIFA RASMI ZA BUNGE II (NAFASI 1) 1.0.2 MAJUKUMU YA KAZI

Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekeishwa katika sauti;

Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge;

Kufanya uhariri wa awali wa nakala za majadiliano kabla ya kuziwasilisha kwa

Wabunge husika;

Kuingiza masahihisho yaliyofanywa na Wabunge katika nakala za awali za

Taarifa Rasmi za Bunge;

Kuhifadhi nakala tepe za awali za majadiliano ya vikao vya Kamati za Bunge

Kufanya kazi nyingine za kiofisi atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi.

 

PLEASE DOWNLOAD PDF FILE HERE FOR MORE INFORMATIONDownload

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English