POST DETAILS POST MWALIMU WA UKALIMANI DARAJA LA III-UNGUJA - 1 POST EMPLOYER MAMLAKA YA MAFUNZO YA

Maelezo

Chanzo: zan ajira



Tarehe Iliyotolewa: 2025-09-11



Kituo cha Kazi/Tukio: Unguja
Imetembelewa mara! 6691 ... Deadline: 2025-09-17 15:30:00

POST DETAILS

POSTMWALIMU WA UKALIMANI DARAJA LA III-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERMAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI
APPLICATION TIMELINE:From: 11-09-2025 To: 17-09-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

               MAJUKUMU YA KAZI

  • KUTOA TAALUMA YA UKALIMANI KUTOKA LUGHA YA MAZUNGUMZO KWENDA KATIKA LUGHA YA ALAMA
  • KUFUNDISHA NGAZI YA CHETI
  • KUTUNGA NA KUSAHIHISHA MITIHANI NA KUWASILISHA KUNAKOHUSIKA
  • KUFUNDISHA NADHARIA NA MBINU ZA UKALIMANI
  • KUWAANDAA WANAFUNZI KWA KAZI HALISI
  • KUFANYA YA TATHMINI YA WANAFUNZI NA KUTOA MREJESHO
  • KUFANYA KAZINYENGINE KULINGANA NA MAJUKUMU YAKO KAMA UTAKAVYOPANGIWA NA MKUU WAKO WA KAZI
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

 

  • SIFA ZA MUOMBAJI
  • AWE MZANZIBARI
  • AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 45
  • AWE NA ELIMU YA STASHAHADA YA LUGHA ZA ALAMA  ELIMU MJUMUISHO NA MAHITAJI MAALUM
REMUNERATIONZPSF-06



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English