AFISA SHERIA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST

Maelezo

Chanzo: zan ajira



Tarehe Iliyotolewa: 2025-09-11



Kituo cha Kazi/Tukio: Unguja
Imetembelewa mara! 6660 ... Deadline: 2025-09-17 15:30:00

POST DETAILS

POSTAFISA SHERIA DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERMAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI
APPLICATION TIMELINE:From: 11-09-2025 To: 17-09-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

MAJUKUMU YA KAZI:

  1. Kutafsiri Sheria, Kanuni na hati nyengine za Kisheria.
  2. Kutoa huduma za kisheria kila inapohitajika.
  3. Kufatilia utekelezaji wa Kanuni na Sheria zinazohusiana na kazi za Mamlaka.
  4. Kuandika na kupitia mikataba, kodi na utoaji wa leseni katika sekta zinazodhibitiwa.
  5. Kupitia rufaa, taratibu na ufuatiliaji wake kisheria.
  6. Kutoa michango katika tafiti za kisheria na musuala mengine ya kisheria ambayo zinazohusiana na Sekta zinazodhibitiwa kulingana na kazi za Mamlaka.
  7. Kuratibu michango na ushauri wa kisheria na kuhusiana na malalamiko yam toa na mpokeaji huduma.
  8. Kuhifadhi kumbukumbu za majadala ya kesi zinazohusiana na Mamlaka.
  9. Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Sifa za Muombaji

  • Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45
  • Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Sheria katika Chuo kinachotambulikana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • Kuhusu sheria kwa muombaji wa Fani ya Sheria aliehitimu kuanzia 2019 na kuendelea atalazimika kuwasilisha Cheti cha kuhitimu mafunzo ya Vitendo kutoka Skuli ya Sheria.
  • Kwa muombaji amehitimu mafunzo yake kabla ya 2019 sio lazima kuwasilisha Cheti cha Mafunzo ya Vitendo.
  • Wahitimu waliosoma Skuli ya Sheria ya Tanzania au Skuli za Sheria za Nje ya nchi itawalazimu kuwasilisha uthibitisho wa vyeti vyao kuhitimu skuli ya mafunzo ya sheria ya Zanzibar.
REMUNERATIONZPSH -06



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2025 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English