Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Tangazo la nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI. Serikali inatarajia kuajiri Walimu 92 wa Shahada na 174 wa Stashahada wa masomo ya Fizikia, Hisabati, Kilimo na Biashara kwa Shule za Sekondari na Walimu 2,767 wa Cheti kwa Shule za Msingi. Waombaji kwa shule za Sekondari wawe....Chanzo: MOE
Tarehe ya kutolewa: 2017-08-09
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 22617...Deadline: 2017-08-31 00:00:00
2. Nafasi za Kazi WRRB
VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Warehouse Receipt Regulatory Board (WRRB), President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill five (5) vacant posts as mentioned below; 1.0 BACKGROUND The Warehouse Receipt Regulatory Board (WRRB) was....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 799...Deadline: 2017-08-04 00:00:00
3. Nafasi za Kazi WRRB
VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Warehouse Receipt Regulatory Board (WRRB), President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill five (5) vacant posts as mentioned below; 1.0 BACKGROUND The Warehouse Receipt Regulatory Board (WRRB) was....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-20
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 4543...Deadline: 2017-08-04 00:00:00
4. MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI (INTERVIEW)
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE INTERVIEW Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-19
Mahali pa kazi/tukio: ZANZIBARR Imetembelewa mara 13362...Deadline: 2017-07-22 00:00:00
5. Nafasi za kazi (74) Zanzibar Aviation Authority (ZAA)
Mamlaka ya viwanja vya ndege Zanzibar, ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya sheria namba8 ya mwaka 2011. Mamlaka ya viwanja vya ndege inatangaza nafasi za kazi 74 katika maeneo yaliyoainishwa katika nafasi na meneo yaliyoainishwa katika tangazo kama vile Civil, Electrical and Mechanical....Chanzo: Zanzibar24
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-18
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18117...Deadline: 2017-08-08 00:00:00
6. MATOKEO NECTA FORM SIX 2017 (ACSEE RESULTS 2017)
PLEASE CLICK HERE TO SEE ACSEE RESULTS 2017....Chanzo: NECTA
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-15
Mahali pa kazi/tukio: NECTA Imetembelewa mara 19420...Deadline: 2017-12-31 00:00:00
7. NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI
NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira kama ifuatavyo:- 1. Afisa Mipango Miji Daraja la II “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-14
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 10768...Deadline: 2017-07-21 00:00:00
8. NAFASI ZA KAZI CENTER OF FOREIGN RELATIONS TANZANIA
NAFASI ZA KAZI CENTER OF FOREIGN RELATIONS TANZANIA On behalf of the Center for Foreign Relations Tanzania, President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat (PO-PSRS) invites qualified Tanzanians to fill one (1) vacant post mentioned belowPLEASE CLICK HERE TO DOWNLOAD PDF FILE FOR....Chanzo: UTUMISHI
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-13
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 4297...Deadline: 2017-07-26 00:00:00
9. NAFASI ZA KAZI WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI
NAFASI ZA KAZI WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Ukama ifuatavyo:- 1. Afisa Utumishi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: Awe ni Mzanzibari. Awe....Chanzo: UTUMISHI ZANZIBAR
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 14451...Deadline: 2017-07-17 00:00:00
10. NAFASI ZA KAZI OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
NAFASI ZA KAZI OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kama ifuatavyo:- 1. CHEMISTRY Daraja la II “Nafasi 7” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu elimu ya Shahada ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2017-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 7854...Deadline: 2017-07-17 00:00:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2023-06-09 08:15:46Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
