Habari Muhimu ...timiza ndoto zako!
1. Matokeo ya Kidato cha Pili, Darasa la Sita na Darasa la Nne Zanzibar 2018
Tafadhali fuata link hapa chini kuona matokeo haya: MATOKEO YA KIDATO CHA PILI DARASA LA SITA NA LA NNE....Chanzo: MOEZ
Tarehe ya kutolewa: 2019-03-06
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 46064...Deadline: 2019-04-30 15:30:002. Taratibu za Kufuata wakati wa Kununua Kiwanja, Nyumba au mali nyengine zisizohamishika Zanzibar
TARATIBU ZA KUFUATA WAKATI WA KUNUNUA KIWANJA, SHAMBA, NYUMBA AU MALI NYENGINE ZISIZOHAMISHIKA ZANZIBAR Key words: Kununua kiwanja, uhaulishaji, umiliki wa ardhi, kurithishana shamba, kumiliki nyumba, uhaulishaji zanzibar Kwa kipindi kirefu sasa tumeshuhudia mizozo mingi ikiibuka kuhusu....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2019-03-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 26330...Deadline: 2020-11-25 00:00:003. Wito Wahandisi Waliojisajili Ofisi ya Rais
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia Wahandisi wote waliojisajili katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora kufika katika Skuli ya Mwanakwerekwe āCā, siku ya Jumamosi tarehe 16 Februari, 2019 saa 4:00 za asubuhi. Wahusika wanatakiwa wachukuwe vyeti vyao....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2019-02-13
Mahali pa kazi/tukio: Mwanakwerekwe C Imetembelewa mara 8163...Deadline: 2019-02-16 10:00:004. Zenjishoppazz Privacy Policy
Definition of terms: Items refer to any product, service or announcement that may be advertised on our website Users refer to any person using our website as a visitor, seller or buyer of items in our website Illegal refers to any item declared by national law as illegal according to....Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe ya kutolewa: 2018-10-17
Mahali pa kazi/tukio: Zenjishoppazz Imetembelewa mara 4325...Deadline: 2030-03-12 00:00:005. Study Engineering at Zanzibar University
Call for Application to Zanzibar University Engineering Programmes The Zanzibar University faculty of Engineering produce professionals who apply knowledge by thinking and doing, preparing them to become real engineers in a rapidly changing world technological spheres. Join us....Chanzo: ZU website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar University Imetembelewa mara 24486...Deadline: 2019-08-15 23:59:006. Nafasi za Masomo Zanzibar University mwaka wa masomo 2018/2019
Ofisi ya Deputy Vice chancellor for Academic Affairs ya Zanzibar University inawatangazia umma nafasi za masomo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2018/2019 katika kozi mbali mbali zinazofundishwa chuoni hapo kama inavyoonekana katika kiambatanishi hapo chini.. ....Chanzo: Zanzibar University
Tarehe ya kutolewa: 2018-06-27
Mahali pa kazi/tukio: Imetembelewa mara 16043...Deadline: 2018-08-02 15:30:007. Matangazo ya Wito wa Usaili Idara Mbali mbali Pemba
Matangazo ya wito wa usaili idara mbali mbali serikalini 1. USAILI TUME YA MIPANGO PEMBA NA MAMLAKA YA KUZUIA RUSHWA NA UHUJUMU WA UCHUMI PEMBA 2. USAILI KWA WALIOOMBA NAFASI YA UKUTUBI WIZARA YA ELIMU PEMBA 3. TANGAZO LA WITO USAILI KWA NAFASI PEMBA ....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-26
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 11519...Deadline: 2018-05-31 08:00:008. Wito Usaili wizara ya Biashara Viwanda na Masoko na Kamisheni ya Utalii Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko na Kamisheni ya Utalii Zanzibar kwenda kuangalia majina yao kwa utaratibu ufuatao hapo chini kuanzia siku ya Alhamis ya tarehe 17 MEI 2018 Kwa wale ambao....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-17
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 7037...Deadline: 2018-05-19 08:00:009. Wito Usaili Tume ya Mipango Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi kwa kada mbali mbali katika Ofisi ya Tume ya Mipango - Unguja kwenda kuangalia majina yao Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 10 Mei, 2018. Kwa wale ambao watabahatika kuona majina....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-05-10
Mahali pa kazi/tukio: Haile Selassie Imetembelewa mara 8032...Deadline: 2018-05-12 08:00:0010. Wito usaili Ofisi ya Makamo wa Pili wa Raisi
Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kwenda kuangalia majina yao katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi (Kikwajuni) kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 26 Aprili, 2018. Kwa wale ambao watabahatika kuona....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-04-25
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 7373...Deadline: 2018-04-29 11:42:00